Nafanya editing ya dissertation for 3,000 per page. Pia naprovide assistance kwa wale ambao wanaanza au kuendelea na dissertation writing. PM for contacts.
Inaonekana Watanzania wengi tunashindwa kujua nini hasa maana ya pensheni na hifadhi ya jamii. Kwanza kwa kifupi kabisa nianze kwa kudefine hifadhi ya jamii. Hifadhi ya Jamii ni utaratibu uliowekwa unaomlinda mtu dhidi ya majanga mbalimbali ya maisha yanayopelekea kumuondolea au kumpunguzia kwa...
Hapa mkuu umekosea!
Prof Lipumba ni one of the best professors wa Economics. Ni world renown consultant kwenye maswala yanayohusu economics, he does a lot for world bank na IMF. Kati ya wanasiasa wote nchini, yeye ndio mwenye CV iliyoenda shule. Pamoja na Dr Slaa kuwa better politician, he is...
Ndugu yangu siasa ni mchezo mchafu. Si mara zote unachokiona ndicho, mara nyingi inakuwa sivyo. Kwa mwendo wa utendaji wa Lowasa kwa kipindi chake cha uwaziri mkuu alikuwa tishio kubwa sana kwa bwana mkubwa aliyeiacha nchi kwenye auto pilot tena ukizingatia kwamba kilikuwa ni kipindi cha kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.