Wakiwa weusi ili itusaidie nini? Sasa hao waebrania weusi wako wapi leo? Kwa hiyo mashariki ya kati yote ni Israel tu ndio walikuwa weusi? Vipindi Syria, Iraq, Saudi Arabia, Yemen, Oman, Iran, Jordan na Lebanon wao walikuwa rangi gani?
Kwanini watumishi wa umma tu ndio waende JKT kwa lazima na sio watanzania wote? Na je, kwenda JKT ndio mtu anapata uzalendo? Hata jakaya, Chenge, walipita JKT.
Moja kwa moja kwenye kero yangu. Kumekuwa na mtindo wa askari wa usalama barabarani kusimamisha gari hata kama huna kosa halafu wanainakiri namba ya gari na kuiandikia fine. Binafsi nimekumbana na hali hii mara mbili sasa.
Mara ya Kwanza nilisimamishwa na askari kama kawaida akaomba leseni...
Huu ni msimu wa nane Simba na Yanga hakuna anayeibuka na ushindi duru ya Kwanza tangu msimu tajwa. Pengine Msimu huu mwiko huo unaweza kuvunjwa wacha tusubiri hiyo Jumapili ya Novemba 5 kama kuna timu itaibuka na ushindi. Mara zote mechi hiyo huisha kwa sare ama suluhu hata kama timu mojawapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.