Recent content by mwayacity

  1. M

    JamiiForums Tanzania Line za wakala zinapatikana za uhakika

    nicheki 0763007335,nahitaji voda na tigo tu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    shame on you!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mwamunyange anastaafu utumishi wa umma leo

    Alitokea jkt kama Mkuu akiwa Lt.General.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kamishna Kova: Tumekamata watuhumiwa wa ujambazi zaidi ya 38 wakiwa na silaha

    utasikia ni wa ukawa hao!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

    hivi mnaemchambua kama MTU wa kawaida is our president! acheni upuuzi kama humuheshimu jk basi heshimu presidency yake! patriotism!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Wanyakyusa

    Red giant...kajaribu kidogo, ukweli bado haujajulikana but kama walivyo wabantu wengine inasadikika walitokea niger delta as branch ya wahausa lakin sources zingine zinasema from nubian queen ndio maana wanyakyusa majina hutoka kwa mama...mf. Kilasa akizaa mtoto wa kiume ataitwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salome Mwambu hoi jimboni Iramba Mashariki

    I have been there! Tatizo watu wa kule ni shule pale ccm hata waweke jiwe litashinda kwa wanyiramba ccm ndio kila kitu...wanyaturu wana msimamo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hili halina ubishi, wanaoipinga Katiba Pendekezwa ni Madikteta!! Angalia mtririko huu.

    1962-1985? Is this history forgoten? Lakini haukua udikteta it was peoples will! As it is now to those politician you mentioned
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa shule ya msingi akutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake wa darasa la saba (vii).....

    Rotten tomatoes! Ualimu wake uliisha pale tu alipoanza kumtamani! Ikithibitika kweli anafukuzwa utumishi na ualimu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwl.wa ECONOMICS&GEOGRAPHY anapatikana!

    Wadau tu! Mimi ni mwalimu mzoefu wa masomo tajwa hapo juu,nina (B.A.ED)-UDSM. Natafuta kazi ya kufundisha A-LEVEL&O-LEVEL. Kwasasa namalizia mkataba wangu na mwajiri wangu niliyenaye!
  11. M

    JamiiForums Tanzania M.A in Economics vs M.A Applied Economics

    Wewe ulie maliza '67 mbona husemi chochote? knowledge haina umri kilaza mkubwa wewe shut up!
  12. M

    JamiiForums Tanzania M.A in Economics vs M.A Applied Economics

    Thanx !Perry but nadhani una ufahamu kuhusu jambo hili,mpango wangu ni kufanya m.a. applied economics lengo nifundishe higher instituitions! VP itanifaa given B.a.ni 3.8 G.P.A
  13. M

    JamiiForums Tanzania M.A in Economics vs M.A Applied Economics

    Wadau mwenye ujuzi naomba tofauti iliyopo kati ya hizo course yaani Master of arts in Economics na Master of Art in Applied Economics. Pia which one is marketable?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya ualimu

    masomo gani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kiwanja kilomo bagamoyo!

    Wadau kwa mwenye kiwanja maeneo ya kilomo bagamoyo nahitaji.watsap & SMS only 0763479113 sihitaji DALALI!
Back
Top Bottom