Salaam wanaJF. Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu yuko hoi jimboni kwake kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi mwaka 2010. Jimbo halina miundombinu ya uhakika kama barabara.
Barabara zipo kama palio la n'gombe na hazipitiki wakati wa masika. Afya na elimu pia ni hoi. Wananchi sasa wamejiandaa kufanya mabadiliko makubwa hapo October 2015 kwa kukifuta kabisa Chama Cha Mapinduzi na kuchagua CHADEMA kama mwokozi wao.
Pia Salome yupo hoi kiafya kutokana na maradhi mbalimbali yanayomsumbua kama UKIMWI na Kisukari.
Sasa, hilo la ugonjwa wake, una uhakika kuwa hao wa chama chako hawana magonjwa? Tujadili siasa mengine tuheshimu maadili ya uandishi na haki za watu