Recent content by Mwatulole

  1. Mwatulole

    Binamu alivyonitaka kimapenzi

    We Mcheza kamali acha kutufanya Sie Pimbi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mwatulole

    Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

    Duhh napakumbuka Sana hapo Spice lodge jirani na Sky Line au soko jipya nimewahi kutunukiwa bikra hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mwatulole

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Asante na pongezi kwako kwa andiko zuri na lenye tija kwetu bila shaka Wenye ufaham tumekupata. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwatulole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hongera baharia kwa ukarim wako mpk binti akapata kazi Nina Imani kiporo hiki huwa hakichachi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mwatulole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Safi Sana baharia. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mwatulole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mimi Hapa nilikula tunda kimasihara kesho yake Kuja kupaangalia nakuta ukuta umeanguka, Kuna wakati huwa najiuliza hv ungeniponda huu ukuta ningekuwa Hai kweli Mpaka muda huu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mwatulole

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Umefungwa kwani wewe ndiye mshindi, Mshindi ni Sabuni ya kuoshea vyombo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mwatulole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii thread hata ukikaa nusu saa tu unakuta utamu wa stori, huu uzi unaweza kukumalizia nguvu za kiume maana ukisoma kila uzi lazima Mnara usome 4G H+. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mwatulole

    Ungekua wewe, ungefanyaje?

    Jamani uzi Umekatika mbn hakuna mchango. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mwatulole

    Choo cha Kisasa cha Kukalia na Karaha /Adha zake kwa Jamii ya Kitanzania.

    Mimi Kwakweli hivi vyoo nikivikuta huwa natanguliza kwanza Toilet paper kwenye Round ya Choo ndo nakaa kama hazipo na shughuli naahilisha ya kukata gogo kiukweli hivi vyoo havifai kwa matumizi ya Umma. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mwatulole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duhhh huu Uzi una Liwaza Sana.
  12. Mwatulole

    MJADALA: kuna umuhimu wa kupima DNA Kwa kila mtoto?

    DNA ya asili ya kwanza kabla ya kwenda kwa Mzungu ni alama za kwenye kiganja kama hazifanani na za kwako hapo ndio unaweza ukaanzia
  13. Mwatulole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uzi wa Namna hii hauishagi Utamu.
  14. Mwatulole

    Mademu wakimya mnakera mnoo

    Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
Back
Top Bottom