Binamu alivyonitaka kimapenzi

Binamu alivyonitaka kimapenzi

Huyo binamu yako atakua kibonge kibonge wenyewe wanaita bonge nyanya
 
Wewe JINSIA GANI MKUU,,,,sijaelewa,,,YAANI INALETEWA NYAMA,,,unakwenda KUJIFICHA MAPORINI?binamu NYAMA YA HAMU....PUPUCHUA HUYO MTOTO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana kila tukio la mahusiano ni lako pamoja na hili..

Wakuu kwenye harakat zangu za maisha niliwahi kukutana na mwanamke ambae nilijuana nae kupitia rafiki yangu, yule mwanamke kuna msaada flan wa kikazi aliuhitaji kutoka kwangu hivyo akamuomba yule rafki yangu amsaidie kuongea na mimi kuhusiana na shida yake.

Yule rafk yangu alikuja kunieleza na hapo ndipo nikaanza mawasiliano ya kawaida na yule dada, nilimsaidia na badae tukaendelea na mawasiliano tu ya kawaida, niliogopa kumtongoza ili asije kuniona labda nilimsaidia ili anilipe ngono hivyo nilijiepusha na hilo licha ya kuwa aliniingiza kwenye mitego mingi.

Siku zilienda na badae akanieleza ukwel wake, kwakua alikua ni mrembo aah mi nikaona isiwe kesi nikaanza mahusiano nae bila kujiuliza mara mbili, alikua ni mtu anae jiheshim, suala la kuniomba hela lilikua ni mwiko kwake hadi nikawa najishtukia nampa mwenyewe tu.

Badae alikuja kuniweka wazi kuwa ana mtoto alizaa na jamaa mmoja ambae alikuja kumtelekeza, iliniuma sana kwakua yule jamaa aliezaa nae alikua na kaz alaf akawa hampi matumiz yule dada, nilimshauri yule dada aende kweny vyombo vya sheria ili yule jamaa abanwe awe anatoa matumiz kwa mtoto wake.

Lakin yule dada alikua akilipiga chenga sana hilo suala na hapo ndo nlipogundua kuwa Bado anamapenzi na yule jamaa yake wa mwanzo licha ya kuwa ametelekezwa, ndipo na Mimi nikala Kona kali sana nikamuacha kama vile bado nipo nae lakin badae mawasiliano nikayafutililia mbali na kumblock kabisa, niliogopa yasije kunikuta yake ya kuambiwa nataka nimpeleke mtoto akamsalimie baba yake, si unajua mtalaka hatongozwi.

GunFire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana.

Kufanya mapenzi na ndugu ni kujitakia laana tu, ungemtandika vibao kwanza akili imkae sawa pumbaf kabisa.
 
Binamu sasa ni ndugu. Zamani enzi za wazazi wetu binamu anapigwa tu, tena enzi za babu na bibi wanaoana kabisa
 
Aaah! Kumbe ulinidanganya kiwa unaenda kufanya interview?
Powa nimejua
 
Back
Top Bottom