Recent content by mwata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kumtaka Jaji Ndyansobera ajitoe kusikiliza mashauri ya CUF yamekataliwa

    Mtaludi=Mtarudi Kuzani =Kudhani
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuizoea K ya wife na Suluhisho lake

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Martiallll
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Leo burdani kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Lukakuuuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Top 10 ya wanamasumbwi matajiri 2016

    Tyson yuko nafasi ya ngapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Muleba nikitokea Uganda na Bukoba

    Ni kweli mkuu hata Mimi niliwahi kupita hapo,niliwauliza wenyeji wa hapo wanasema kuna bwana mmoja akili yake siyo nzuri anaishi hapo ndiye hufanya kazi hiyo kwa mda mrefu sasa na imegeuka Kuwa kivutio
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nina mkosi gani wakuu?

    Nadhani Mungu ana malengo mazuri juu yako anataka akupatie Mke wa aina yako.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Unachosema ni kweli,lakini lazima tukubaliane kwamba ndoa ina umuhimu wake kwa Mwenye kujua na kuthamini maana yake.Ndoa inamstiri mtu Mwenye maadili hasa ya dini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Umesema kweli mkuu,wanajitahidi kweli kutetea,lakini ukweli ni kwamba viongozi Wa Catholic wamezidi kwa uzinzi na kulawiti,wakiambiwa oeni tena ikibidi zaidi ya mmoja,wanajifanya kupinga.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiulizwa swali hili katika interview utalijibu vipi?

    Ubarikiwe mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukiulizwa swali hili katika interview utalijibu vipi?

    snochet Asante mkuu. Mfano unaulizwa strengths na weakness zako?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Yawezekana mkuu.tuvute subra.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Nakumbuka Mara ya mwisho aliitwa kuhojiwa na tume ya maadili ya viongozi na hawakutoa majibu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Huyu Gambo alikuwa anatuhumiwa kutumia madaraka yake vibaya ikiwemo ile kesi ya kumdhalilisha yule mwanasheria Wa korogwe.
Back
Top Bottom