Hivi nina mkosi gani wakuu?

Hivi nina mkosi gani wakuu?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,072
Reaction score
16,624
Bwana Yesu asifiwe watanganyika wenzangu.

Ishu yangu iko hivi, nahisi kama kuna jambo haliniendei sawa katika suala zima la mapenzi. Kama mjuavyo ulimwengu wa sasa umeharibika so watu inabidi tutumie muda mrefu kufanya vetting ya wale tunaotarajia wawe wenza wa maisha yetu.

Sasa mie kila binti ninaekutana nae nikampenda halafu nkamfanyia vetting na kujiridhisha kuwa in long run anafaa kuwa my wife wangu yeye lazima atanikataa tu. Mpaka sasa nishakataliwa na wawili, mmoja kanitamkia kuwa sina mvuto kwake na mwingne aliniambia wazazi wake wanataka aolewe na mnyakyusa mwenzake ilihali mie ni mkurya so akanipotezea.

Ila sasa wale mabinti ambao nawafuata kwa nia ya kuhit na run ebwana huwa wananiganda kama ruba. Wengine hadi huwa nafanya kuwakwepa tu. Sasa mpaka sasa nashindwa kujielewa nina mkosi gani maana ninapopenda na kuonyesha nia mie nakuwa sipendwi ila ninapokua nataka kupiga na kuingia mitini tu ndo napendwa balaa.

Huu utakua ni mkosi au ni nini wakuu?
 
Tatizo lako ni mbinu
wale unaotaka kuoa ungetumia mbinu hiyo hiyo ya hit n run

Through body language yako unapoongea na yule unaemuona anafaa
automatic 'unampandisha bei'
hivyo lazima akujibu negative.....

wale unaowaona 'wa ku hit n run' unapoongea nao
body language inaonesha 'we wa kawaida sana'
hivyo na wao wana respond vizuri since 'hujawapandisha bei'
 
huna mkosi, wewe mwenyewe ndio mkosi.....kwani lazima uoe???? endelea na ile kitu ya kula na kukimbia tuu...
 
Jaribu Mahusiano ya Jinsia Moja, yanaweza kustawi unavyotaka. I see the spirit from the 'bottom' of ye heart, boy!
 
Nadhani Mungu ana malengo mazuri juu yako anataka akupatie Mke wa aina yako.
 
Hiyo tabia yako ya Kuwa karibu na hivo vimeo vyako, ujue vinakuharibiaga mipango yako..... Kaa mbali uanze upya...
 
siku zote kupata usichotaka ni rahisi embu badili vigezo unavyotumia kuingia kwenye dimbwi la mahaba kwa hawa dada zetu hakika itasaidia kumpata mke mwema wa longtime
 
Back
Top Bottom