Recent content by Mwasongola

  1. M

    Hivi ni kawaida kupokea friend request zaidi ya 500 kwa siku?

    Wanakuchanganya na requests nyingi ila siyo wote wanadeal na ww.....ni sehemu fulani hivi ya kukuconfuse and at the end of the day kuna mmoja atakuwa close2u then unaingia kwenye point
  2. M

    Hivi ni kawaida kupokea friend request zaidi ya 500 kwa siku?

    Hakuna crime yoyote u think u had recently committed or uko associated nayo kwa namna moja ama nyingine? Cos baadhi ya hizo requests ukiwauliza hao uliowaaccept watasema hawajatuma wao
  3. M

    Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

    Bora tufanye mambo mengine na mpira tucheze kwa afya tu. Labda walau tujaribu ndondi au tuwaache wamakonde wacheze na majoka na Diamond aimbe muziki. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Kama Mungu alimshindwa Shetani, alimleta duniani kwa shughuli gani?

    Mmmmhh! Nipo njiani hebu nikatulie niipitie hii kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Kama Mungu alimshindwa Shetani, alimleta duniani kwa shughuli gani?

    Hivyo ndivyo akili na ufahamu wetu "ulipofungwa..." Elezea hiyo mechanism. Ukitaka kumtetea huyu idolater aliyesema Neither God nor Satan exists, no way out zaidi ya kuelezea the so-called ORIGIN OF LIFE AND THE UNIVERSE. Yaani tiririka hapa utuoneshe chanzo cha ulimwengu na maisha yote cos...
  6. M

    Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

    Unahitaji partners au workforce? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Tour campsite: Watu wanne walio serious tuanze hii biashara

    Unahitaji watu wa criteria zipi? Mbona wazo lako ni zito ila umeliandika kiwepesi sana? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Andika usichokipenda humu JamiiForums

    First come first served Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Andika usichokipenda humu JamiiForums

    Ambao hatujaoa na hatuna hata familia tuendelee kuja? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

    Yule shilawadu lazima awepo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali

    Tuheshimiane basi. Hii culture ya wananchi kwenda kupokea ndege bado inaexist hadi 21st century? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Afrika Kusini na ubaguzi wa rangi, picha hii yazua taharuki

    Hahahhah...Kwahiyo tuwape jina gani? Mashetani? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Sishauri sana Rais Magufuli awe ana 'disclose' mara kwa mara 'findings' za TISS publicly kwani anawaharibia

    Usipostaajab ya Musa utayaona ya Firauni Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom