Recent content by MWASIWOLO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa bora zaidi, Drogba Au Eto'o?

    Etoo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mlioko ngala Bei za maharage zipoje? Maharage yapi?

    Huku kilo 3000 maharage ya njano,mengne kilo 2400-2800
  3. M

    JamiiForums Tanzania TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

    Tusubiri tu hiyo tarehe ifike ila naamini laini hazitafungwa,watu wengi hawana namba Wala kitambulisho Cha NIDA naamini serikali itaongeza muda wa kusajili kwa alama za vidole
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taja wachezaji wanaoongoza kuchukiwa na timu pinzani

    Pepe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

    Hahaaaaa nimekumbuka Song of Lawino and Song of Ocol Clementine vs Lawino .Ocol alivyomsahau bimkubwa Lawino na kuwa na Clementine,hizi ndoa ni changamoto sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilichomkuta mchungaji huyu kiwe funzo

    Baathi ya wachungaji wa siku hizi wengi wao sio wakweli wanatumia njia mbalimbali il wawe na waumini wengi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani Wasafi Tv inaonekana tena kwenye kisimbuzi cha Azam?

    Azam Tv sio waaminifu yaani nlipie kifurushi halafu nianze kulipia Tena ?Aseeee kweli wamebuni njia ya kuingiza mapato
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hili ndio tukio lililochukiza waafrika wengi pale SA onwkan2010

    Shujaa wa Uruguay !!Jamaa alikuwa anapambania Taifa lake
  9. M

    JamiiForums Tanzania CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Mr.Sabufa atakuwa amefurahi kweli kwa uteuzi huu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mlimba: CCM wawavamia usiku viongozi wa CHADEMA na kuwakata mapanga kisa wamechukua fomu za uchaguzi

    Tanzania imekuwa Kama Vita ?Kila mtu ana uhuru wa kugombea !!!!dah inasikitisha sana
Back
Top Bottom