Ukienda kichwa kichwa anakuvunjanigel de jong
Mzee wa "Why Always Me?"
Alikuwa anakera sana hasa ile style yake ya ushangiliaji kwenye magoli ya jioniDrogba.
Sadio Mane anajiangusha sana, hasa ile mechi yao dhidi ya Leicester City alinikera kiwango cha kutukuka.
Game za man u na Chelsea alikuwa anaumiza roho vibaya huyu lejendari.Alikuwa anakera sana hasa ile style yake ya ushangiliaji kwenye magoli ya jioni
Anakera sana huyu mwamba anavijitabia vya kujiangusha angusha na kuchezaa virafu vya kijinga jinga.
Sadio Mane anajiangusha sana, hasa ile mechi yao dhidi ya Leicester City alinikera kiwango cha kutukuka.
Legendary alonso alipgwa teke moja matata sana hapa nilianza rasmi kumchukia huyu mwamba De jongUkienda kichwa kichwa anakuvunja
Chicharito Mbabe wa magoli ya kuvizia dhidi ya Chelsea FCGame za man u na Chelsea alikuwa anaumiza roho vibaya huyu lejendari.
Fainali ya World Cup 2010 hiyo, Refarii Howard Webb aliishia kutoa kadi ya njanoLegendary alonso alipgwa teke moja matata sana hapa nilianza rasmi kumchukia huyu mwamba De jong
Bila kumsahau Sergio BusquetsSadio Mane, Harry Kane, Dele Ali, Wilfred Zaha, Mohammed Salah, Neymar, Richalson, Ashley Young, Eden Hazard.
Wanalala tu hamna wachezaji hapa.
Roho ya paka. Combination yake na Sergio Ramos ni moja ya combo bora za kihuni katika historia ya sokaPepe