Habari ndugu zangu sina utaalamu sana Katika sekita hii kama umewahi kufanya au ni mtaaluma wa mashine hizi niambie kimsingi naitaji kuanzisha machine ya kusaga mahindi.. Na kukoboa.
Tafadhali kama ni mtaaluma wa haya niambie chochote.
Na kiwango kidogo cha mtaji na kikubwa.
Huu ni uchochezi. Kama Una akili Pana...utaona kesi nyingi zitakazo tungwa ni za kiongozi wa dini na wanasiasa wataanikwa magazetini
Kama viwanda vinavyozundiliwa
1. Kuwafuta watu elfu 12. Ajira
2.kufuta ajira za waalimu toka mwaka 2015...kuingia kwenye system.
3.ajira za madaktari kuingia kwenye system
4.Kukataza mikutano ya hadhara kwa vyama pinzani.
5.kunyima haki ya kukueleza na kuikosoa serikarli
6.kuvunja katib ya ccm kwa kutowapa haki kutendeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.