Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.

Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.

Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!

Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.

Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.

Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Kurudia kosa ndo kosa,saiv jikaze kisabuni songa mbereee
 
Mwambie kila siku akupe buku ten ten lasivyo fungasha drayer zote na makoro koro mengine over
 
Mimi mwanamke siwezi nikamkopesha bora nimpe bure kabisa
 
aaaaahh yani inaonesha wazi mbali na hyo millioni uliomkopesha...unahela nyingi tu ndani!!
ingekuwa kweli unauhitaji na hela yako mbona ungeipata fasta tu.
 
Ushaliwa hapo kilichobaki kula tu mzigo upooze machungu ya M1 na kipindi hichi cha vyuma kukaza
 
Kula mzigo, wasio na mvuto wana mnato ile mbaya, geuza na samaki kabisa, liwe kimbilio la kumwaga maziwa, utapata tena mkuu..
Fikiria kama vile umetoa msaada na huku unafaidi matunda..
 
Tangu nilikuwa namdai sasa nimeamua kukaa kimya .ila sirudii tena
 
Mkuu hakuna namna. Funga tu macho ule papuchi maana kulipwa hulipwi tena hapo
 
Mhhh aise pole ungempa ata nusu.. Sasa cha msingi mwambie akupe ata nusu nusu. Mzee ndo uje kula iyoo papuchu usikose vyote..
 
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.

Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.

Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!

Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.

Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.

Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Du....umeingia mkenge.
Mwanamke hakopeshwi, ukimpa hela ni kwa mapenzi yako,malipo ni 6X6, ambayo mnaenjoy wote.
 
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.

Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.

Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!

Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.

Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.

Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Saloon haiwezi rudisha 1 million kwa miezi 3
 
Kodi kirikuu nenda mvizie siku yupo hapo salon kwake mtishie kubeba zaga zote kama hakukupa hela yako on the spot,naamini hata kama hajakupa yote atajipiga piga atakupa hata nusu.

Wanawake wa mjini wana trick nyingi sana za kuchukua hela za wanaume.ukiwa msikiliziaji tu atakuchanulia upaja ugonge mashine million ipite hivi.huyo hela anayo mwaka mzima anafanya biashara inamaana inamlipa mtingishe akupe chako.
 
Atakuwa hajapata mvumilie biashara sa hv ni ngumu. Kupata tsh 1 milion cash siyo mchezo kwa usawa huu wa awamu ya tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom