huo ni uongo !
gazeti la mwanchi linauza nakala 300,000 kwa kanda ya ziwa peke yake.
linauza zaidi ya nakala 250,000 nyanda za juu kusini
linuza zaid ya nakala 300,000 kwa mkoa wa Dar es salaam na Pwani
Tanga , Kilimanjaro na Arusha zinapelekwa nakala zaidi ya 120,000
Rambo ni mfala sana, aliwahi kutuvamia Bar ya Karakata kabla hujavuka reli....
Mungu mkubwa jamaaa mmoja alikua na bastola akaokoa uhai wetu baada ya kuingurumisha.....
nataraji atapokea simu ya kifo shortly
HALI imekua ya Nderemo kwa wakazi wa Majumbasita , Karakata na Stakishari kufuatia kutiwa Mbaroni kwa Jambazi wa kizazi kipya ajulikanaye kama RAMBO.
KIJANA huyo ambaye amekua tishio kwa maisha ya binadamu na ustawi wa watu maeneo hayo alikamatwa katika purukushani zilizotokea Kimboka BaR...
Juzi nimekunywa castle Lager , ina muhuri unaoonyesha kuwa imetokabkiwandani siku mbili nyuma yaani 48 hours.....hapo bia haiwezi kuwa imepoa kufikia kiwango cha kunywewa.
ndio maana wanashauri ukitaka bia iliyoiva nenda kwenye bar ndogo zisiO na idadi kubwa ya wateja...au unywe bia IsiO...
Point of correction.
hakuna eneo la kijiografia au la kiutawala linaloitwa Tabata Segerea.
Tabata ni Tabata, Segerea ni Segerea.
Kata ya Tabata, Kata Ya Segerea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.