Recent content by mwarab

  1. M

    Tusikubali kugawanywa kwa sababu ya BOMU LA OLASITI

    Nadhani nami nina mchango hapa.Leo hii nilikuwa namuuliza ndugu yangu mmoja kuwa nini tafsiri ya neno uhasama? Au kugombana? Ninavyo elewa mimi maana ni piga nikupige,ongea nikuongee,umefanya nami narudisha (kisasi). Kwa habari hii nadhani kuna kuogopana hapa,lakini japo hatuombei...
  2. M

    Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

    Maswala ya kuingia chama na chama kingine sio maswala mepesi , mtu huwezi kuwa unasemaga mabaya ya ccm alafu baadae ukaanza kusema mabaya yahoo chadema, chadema ipo tutakufa tutaiacha
  3. M

    British Gas Invests U.S$2 Billion in Tanzania Oil, Gas

    Hivi kila leo tunasikia uchimbaji au utafiti wa mafuta na gas lakini mwishowe ni gas tu inayokuwa availed , mafuta yanabaki wapi? Maana inaonekana kama mtoto anapokuwa na usingizi anachezeshewa mdoli ili alale
  4. M

    John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    Hili analosema mnyika ni kweli, kwa wale wanaoijuwa tanga ya miaka ya nyuma ya 85, ni ilikuwa ya neema kubwa ya viwanda, lakini leo viwanda karibu vyote vimeamishiwa Dar es salaam, chini ya utawala wa majimbo isingelikaa itokee hiyo ambayo imeuwa tanga kiuchumi by 98%
  5. M

    Headmaster Ifunda Tech. alinusurika kifo kutoka kwa wanafunzi

    Wengi hawaijui imani yao vizuri na wamekuwa wakifuata mkumbo tu. Ukitaka kuprove muulize muislam wa karibu yako asili ya uislam i mean, UISLAM ULIANZAJE? Kama hatakukasirikia basi atakwambia sijui ngoja nkaulize. Hapo ndio asili ya tatizo wengi ni mamluki. Wanachojua wao ni KAFIRI tu bila kujua...
  6. M

    Headmaster Ifunda Tech. alinusurika kifo kutoka kwa wanafunzi

    Kwa kweli kabisa na kwa kumwogopa Mungu huyu anayefanya nipumue sasa hivi,kuna katabia kana nikera sana. Utaona tatizo limefanywa kabisaaaaa na mtu wa imani moja na liko wazi kabisa lakini mtu anachangia eti Dini hizi! Zipi? wakati iliyofanya hivyo inajulikana? Tuache nidhamu ya woga na...
  7. M

    Mbowe: Nitajiuzulu endapo wabunge wa CHADEMA watapungua 2015

    Hilo nadhani Kwan mwenyekiti mwenye akili kama free lazima atalielezea vizuri, ila wana jf mpanda yote naona imeamia uwanjani kumuona kamanda, naona mafisadi wakiona hii inawauma mno
  8. M

    Msigwa na Sugu kuunguruma Mafinga leo

    Mimi niko tukioni mida hii, kumeshona kinoma, yaani utafikiri watt wamekuja kulipwa mishahara
  9. M

    CHADEMA yaiteka Mbeya kwa maandamano makubwa, uzinduzi Kanda Nyanda za Juu Kusini

    Hawa Jamaal tayari, nadhani shughuli imekwisha, nyanda za juu kusini 90% ni cdm
  10. M

    CHADEMA Kuunguruma Leo Rwamishenye - Bukoba mjini kwenye Jimbo la Kagasheki

    Hapo kwenye Zambezi kunapaswa kusomeka kama za
  11. M

    CHADEMA Kuunguruma Leo Rwamishenye - Bukoba mjini kwenye Jimbo la Kagasheki

    Mimi nafikiri ni muhimu chama kikaondokana na card Zambezi membership Zambezi karatasi n.a. wakaingia kwenye kadi za kama vitambulisho vya kazi maana hii itaweka kumbukumbu hai kwenye computer zao kwamba wana wanachama wangapi na ambao ni hai,
  12. M

    EDWARD NGOYAI LOWASSA atatoa maamuzi mazito kati ya tar 18/02/2013

    Wana JF kwangu mimi huyu jamaa si kama tunavyo mfikiria. Amesemwa sana na nadhani atakuwa ameelewa ni dhambi gani ameifanya,ndani ya magamba kwa sasa ukiacha udhaifu alio nae hakuna mtendaji mzuri kama yeye. Kama mnakumbuka kwenye vikao vyao kule DOM alitaka kukurupua jambo la si busara za mh...
Back
Top Bottom