CHADEMA Kuunguruma Leo Rwamishenye - Bukoba mjini kwenye Jimbo la Kagasheki

View attachment 84898
CCM nao hawakutaka kupitwa ndo kwanza wakaweka bendera yao mpyaaaa.............hatukuichana wala kuigusa.
 
Attachments

  • DSC03411.JPG
    DSC03411.JPG
    750.3 KB · Views: 32
  • DSC03420.JPG
    DSC03420.JPG
    472.3 KB · Views: 34
  • DSC03426.JPG
    DSC03426.JPG
    624.1 KB · Views: 34
Sasa maccm yatatokea wapi 2015? Itakuwa aibu kwao kutangaza wameshinda kwa hali hii. Naamini nchi inaondoka kwa mkoloni mweusi sasa, uhuru wa kweli unakuja. KEEP IT UP BROTHERS!!
 
Mimi nafikiri ni muhimu chama kikaondokana na card Zambezi membership Zambezi karatasi n.a. wakaingia kwenye kadi za kama vitambulisho vya kazi maana hii itaweka kumbukumbu hai kwenye computer zao kwamba wana wanachama wangapi na ambao ni hai,
 
Mkuu hilo liko kwenye strategic plan na tayari orodha imeanza kuchukuliwa
 
Back
Top Bottom