FUNZO KUBWA SANA HILI
Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (cold room) ambako nyama zilikuwa zikihifadhiwa kukagua vitu fulani. kwa bahati mbaya wakati yupo kwenye...
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN, • ACID, • SPERM au CHROMOSOME, • VIRUS.
PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food Substance”...
Kweli nimeamini mke wa mtu sumu baada ya kunusulika kifo jana. Basi ilikua mchana kama saa 7:30 nikasikia sim yangu inaita kucheki jina alikua mama james wa mtogani
kiukweli huyu mama alitokea kunipenda sana kijana wa watu sio siri alinipa kila nilichotaka kwa uwezo wake na mimi nilimpa mapenzi...
*JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI?*
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba
1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako
2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo...
Chid Benzi anatushangaa tunavyomshangaa
Na Edo Kumwembe
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu yako katika dakika za majeruhi katika mechi muhimu. Yote haya hayazidi starehe ya kubwia unga.
Sahau kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.