Kweli kila nyakati na mambo yake, nakumbuka michezo ya maigizo kipindi hicho ilivokuwa ina trend. Enzi za kaole kila jumamosi baada ya taarifa ya habari tu, watu macho kwenye TV, mambo hayo, kidedea, jumba LA dhahabu.
Basi enzi hizo mastaa waliokuwa wanatamba kwenye uigizaji wakina Kibakuli...