Bila shaka, Roma ametuthibitishia pasina shaka, kuwa alitekwa na kuteswa na watu wasiofahamika, japo hakuwa tayari kuweka wazi mahojiano waliyomhoji watekaji. Itoshe kusema sakata hili LA Roma linafanana sana na LA Dr. Ulimboka lililotokea mnamo mwaka 2012, ambapo naye alitekwa na watu wasiojulikana, akateswa na baada ya siky kazaa akapatikana akiwa mahututi kwa mateso makali.
Matukio haya mawili yanakaribiana sana, kwani sakata LA Dr. Ulimboka lilitokea kipindi cha mgomo wa madaktari, na Dr.Ulimboka, kwa kiasi kikubwa alikuwa, kiongozi na mratibu wa mgomo ule. Na baada tu ya tukio LA Dr ulUlimboka mwaka 2012 hadi Leo ni miaka mitano haujawahi kujirudia tena mgomo wa madaktari.
Hivyo wasi wasi, wangu ni kuwa baaada ya tukio hili ndo utakuwa mwisho wa Roma kutoa aina ya nyimbo alizokuwa anatoa, na pengine wasanii wa aina yake.