Hana title yeyote ni raia wa kawaida sana znz, hii ni mbinu ni ya mataifa ya nje (marekeani na Uingereza) kutaka kuwagombanisha kati ya waislam na wakristo ili wapate kuchukua rasilimali zetu za nchi kwani ni mbinu wanayotumia kwenye nchi mbalimbali ili kuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe na wao...
ccm haina udini kama chadema ndio mana chadema wanapomtenga basi mnamuhusisha na ccm, na kuutaka uraisi sio ishu kwani ni yeye peke yake anayetaka uraisi ndani ya chadema mbona Mbowe aligombea kabla ya Slaa? Slaa ameshindwa 2010 ampishe Zito, Wewe unahisi harakati za ukweli hadi ufungwe kama...
Yaani hata mimi nilivyosoma nimejikuta nacheka bila kutegemea, inamaanisha watu wanatafuta umaarufu kwenye sanaa zao then wanaibukia kugombea ubunge, basi kama ni hivyo tutegemee bunge la :yell:.
Kwa kweli amenishangaza huyu katibu wa ccm kwani anaposema ccm haijamsafisha mtu, kilichotokea kwenye nec ni EL kujisafisha mwenyewe kwani alipotoa hoja yake ya kuchafuliwa na wanaccm wenzake si ndio amejisafisha. Tuwe makini na watu kama lowasa:spy:
Kujihami na yuko tayari kwa chochote na wakati wowote, so doctor kwa nini alikimbia na kujificha kwenye gari ya matangazo, ss ile ilikua na kazi gani au aliibea tu ya mapambo? awaulize kina rage matumizi ya kupanda nayo jukwaani
Jingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.