Kwa nini Zito anakuwa hayuko kwenye Target ya CCM na Magamba?

Wana JF,

Mimi nataka kufahamu ni kwa sababu gani Zito Kabwe haandamwi na matatizo ambayo wanapata Viongozi wengi wa CDM?

Mfano:
1. Kwenye tukio la January 5 2011, ilikuwaje hakuwepo kwenye yale maandamano na matatizo yote waliyopata viongozi wa CDM.....

2.
Imekuwaje Ubunge wake haupingwi mahakamani kama wanavyosumbuliwa hawa wabunge engine?

3. Imekuwaje majuzi alikuwa mwanza kwenye ule msala wa Kina Kiwia na Machemuli yeye akakosekana?

4. Kama mnakumbuka imekuwaje ubunge wake kaupata kiulani, wakati wengine ni hadi nguvu ya umma kushinikiza?

5. Inakuwaje watetezi wengi wa Ufisadi na CCM wanamtetea kufa na kupona hata humu JF?

Nashindwa kuelewa kwa sababugani yeye amekuwa CDM lakini hajawahi kupata mskike mshike wowote tangu awe kwenye hizi siasa za upinzani wakati watu hadi mapanga wanapigwa... Selo wanawekwa...
Je ni kipi anachoweza kutuaminisha kuwa yeye ni mpiganaji na mtetezi wa wanyonge wakati kina Nelson mandela walikuwa wanakamatwa na kufungwa kwa ajili ya kutetea wananchi..

Tuache ushabiki wa ki CCM tujadili hili.....

Naumiza kichwa nimfahamu vizuri Zitto, nataka niende mbali zaidi ya kufahamu tu dini yake na uhusiano wake na Rostam
 
Wana JF,

Mimi nataka kufahamu ni kwa sababu gani Zito Kabwe haandamwi na matatizo ambayo wanapata Viongozi wengi wa CDM?

Mfano:
1. Kwenye tukio la January 5 2011, ilikuwaje hakuwepo kwenye yale maandamano na matatizo yote waliyopata viongozi wa CDM.....

2.
Imekuwaje Ubunge wake haupingwi mahakamani kama wanavyosumbuliwa hawa wabunge engine?

3. Imekuwaje majuzi alikuwa mwanza kwenye ule msala wa Kina Kiwia na Machemuli yeye akakosekana?

4. Kama mnakumbuka imekuwaje ubunge wake kaupata kiulani, wakati wengine ni hadi nguvu ya umma kushinikiza?

5. Inakuwaje watetezi wengi wa Ufisadi na CCM wanamtetea kufa na kupona hata humu JF?

Nashindwa kuelewa kwa sababugani yeye amekuwa CDM lakini hajawahi kupata mskike mshike wowote tangu awe kwenye hizi siasa za upinzani wakati watu hadi mapanga wanapigwa... Selo wanawekwa...
Je ni kipi anachoweza kutuaminisha kuwa yeye ni mpiganaji na mtetezi wa wanyonge wakati kina Nelson mandela walikuwa wanakamatwa na kufungwa kwa ajili ya kutetea wananchi..

Tuache ushabiki wa ki CCM tujadili hili.....
Umesahau kuwa alisimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge?
 
Zitto ana tatizo la kutaka madaraka makubwa na kutaka CCM wamwone tofauti na wengine kutoka upinzani. Ukweli ni kwamba hata paka akiwa anamvizia panya hata ukimkanyaga mkia hatajigusa kwani yuko kwenye traget. Zitto anamvizia panya wake i.e. urais na hivyo anajidai hayaoni mambo mengine yanayotokea kama muhimu hadi anase anachovizia. Pia hataki kuwabughudhi CCM kwani kuna uwezekano akiwa rahisi kuwa na serikali ya mseto yenye thithiem wengi.
 
Kumbe!!!!!!!!!! basi anafaa maana huu si wakati wa kutengeneza makundi, ukimuona mwanasiasa wa upinzani anatoa hoja hadi watawala wanamkubali huyo ndio wa kumuunga mkono>Tumuungeni mkono zitto atuletee maendeleo nchini.Mimi kama MJUMBE wa tume ya katiba nasemaZitto for prezdaaaaaaa 2015 MTAKE MSITAKE
 
Magamba hawa hofu nae kwakua ni mwenzao, watampa kila nafasi inayopatikana ili waweze kutimiza malengo na matakwa yao.

Zitto atajaribu kutuvuruga lakini hataweza.
 
Kwa hiyo Dini yake ndiyo inamfanya asishiriki kwenye harakati za ukweli... Dini yake ndiyo ilimfanya atake Urais kama anavyosema...

Dini yake ndiyo inamfanya atetewe na CCM, kwani CCM dini yake ni sawa na ZITO

ccm haina udini kama chadema ndio mana chadema wanapomtenga basi mnamuhusisha na ccm, na kuutaka uraisi sio ishu kwani ni yeye peke yake anayetaka uraisi ndani ya chadema mbona Mbowe aligombea kabla ya Slaa? Slaa ameshindwa 2010 ampishe Zito, Wewe unahisi harakati za ukweli hadi ufungwe kama Mandela?
 
Wana JF,

Mimi nataka kufahamu ni kwa sababu gani Zito Kabwe haandamwi na matatizo ambayo wanapata Viongozi wengi wa CDM?

Mfano:
1. Kwenye tukio la January 5 2011, ilikuwaje hakuwepo kwenye yale maandamano na matatizo yote waliyopata viongozi wa CDM.....

2.
Imekuwaje Ubunge wake haupingwi mahakamani kama wanavyosumbuliwa hawa wabunge engine?

3. Imekuwaje majuzi alikuwa mwanza kwenye ule msala wa Kina Kiwia na Machemuli yeye akakosekana?

4. Kama mnakumbuka imekuwaje ubunge wake kaupata kiulani, wakati wengine ni hadi nguvu ya umma kushinikiza?

5. Inakuwaje watetezi wengi wa Ufisadi na CCM wanamtetea kufa na kupona hata humu JF?

Nashindwa kuelewa kwa sababugani yeye amekuwa CDM lakini hajawahi kupata mskike mshike wowote tangu awe kwenye hizi siasa za upinzani wakati watu hadi mapanga wanapigwa... Selo wanawekwa...
Je ni kipi anachoweza kutuaminisha kuwa yeye ni mpiganaji na mtetezi wa wanyonge wakati kina Nelson mandela walikuwa wanakamatwa na kufungwa kwa ajili ya kutetea wananchi..

Tuache ushabiki wa ki CCM tujadili hili.....

Gamba at Work ha ha haaaaaaaaaaaa
 
Unganisha some dots, hivi kwanini hataki kuoa hadi sasa? inasemekana kachumbia kwenye nyumba ya kigogo 1 wa magamba!
 
Kumbe!!!!!!!!!! basi anafaa maana huu si wakati wa kutengeneza makundi, ukimuona mwanasiasa wa upinzani anatoa hoja hadi watawala wanamkubali huyo ndio wa kumuunga mkono>Tumuungeni mkono zitto atuletee maendeleo nchini.Mimi kama MJUMBE wa tume ya katiba nasemaZitto for prezdaaaaaaa 2015 MTAKE MSITAKE

Kwa CCM ninaowafahamu hilo halipo..., Issue hapa ni kuna watu wanamtumia kwa interest zao na si za Nchi... Na yeye ana kaelement ka maslahi binafsi kwa hao watu.
 
ccm haina udini kama chadema ndio mana chadema wanapomtenga basi mnamuhusisha na ccm, na kuutaka uraisi sio ishu kwani ni yeye peke yake anayetaka uraisi ndani ya chadema mbona Mbowe aligombea kabla ya Slaa? Slaa ameshindwa 2010 ampishe Zito, Wewe unahisi harakati za ukweli hadi ufungwe kama Mandela?

Harakati za ukweli tunazijua siyo hizi za chui kuvaa ngozi ya kondoo.
 
Zitto anatumia akili, anaifahamu vizuri siasa! the same applies to Mnyika and Mdee!!Wengine wote waliobaki CDM ni vichekesho!
Hujamjibu Stein:Mnyika-Watu waliandamana,wakazingira Loyola Sekondari ndio akatangazwa.Mnyika-Sasa anapingwa na Hawa Ng'umbi mahakamani,tuombee yasimkute ya Lema.Mdee-The same.Vijana wa Kawe walijiapiza akitajwa tofauti panachimbika,na matokeo was the same spot,Loyola as MnyikaMdee-alipingwa na CCM"C" Mbatia kabla ya Kushushuliwa na Kafulila akabwaga manyanga anajidai kuelewana na Dr.SlaaZITTO ZUBERI KABWE-Aliandamana kudai matokeo?Jibu NOOOOO(Zaidi zaidi aliwataka wananchi wa Jimbo lake wamchague Kikwete wakati Katibu wake anagombea).Na mwisho wa siku akaenda ETI kuandamana Kigoma Mjini kudai matokeo ya wenzie-watoto wa mjini tunaona alikuwa anazuga.Polisi walimkamata kuzuga wakamwachia,hata kesi yake ya kumtorosha mtuhumiwa haijulikani iliishaje.Angekuwa Lema ndio amemtirosha mtuhumiwa,mpaka leo angekuwa ndani!!!1ZITTO ZUBERI KABWE-Anapingwa na nani ushindi wake?Kikwete alimnadi yeye badala ya Mgombea wake pale Kigoma Kaskazini!!Katiba mpya ndiye aliyemsakama Mtei,anapinga utetezi wa Mnyika kwamba ile sio kauli ya Chama na anamtetea ZZK.Rejao,ritz, and the like ni class moja,PRO-CCM.You can tell Stein Nothing,Mkajipange upya mjibu hoja:Kwanini ZZK anaonekana Perfect mbele ya Magamba?Is purchased good of RA & Co.?Tafakari..............................
 
Fikiria vizuri iweje muwe wawili na mmevamiwa na vibaka wewe umepigwa na papanga mwenzako hata hajaguswa na hata hakusaidii anakuangalia tu? Kama una akili timamu lazima ujiulize ni kwa sababu ipi vinginevyo utakuwa na utindio wa ubongo.
Hapa ndiyo umejidhihirisha wewe ndiyo una mtindio hivi unavyofikiri siasa lazima ufungwe au upigwe mabomu na mapanga? ukiendesha siasa za ustarabu zisizokuwa na fujo ndizo zinakupa credit kwa hiyo Zitto ana siasa za kistaarabu siyo kama hao wengine lakini kama umetumwa au kulipwa endelea kumchafua Zitto mbunge makini.
 
Zitto ana identity problem; chadema hapendwi (of course dini yake ndio issue)

Anachofanya ni ubishi tu huko chadema anatakiwa aondoke..

Zitto alitumia hyo hoja ya udini lkn si kweli, yeye anatumiwa na magamba aisambaratishe chadema. Akitoka chadema akaenda ccm hatopata kitu coz wanamjua sna undimilakuwili wke. Ukitaka kumju zitto uliza aliosoma nao udsm.
 
Kwa muda mrefu sana watu wengi wamekuwa na mashaka na nyendo za huyu kijana ZITO, nakumbuka gwiji wa sheria mwalimu ISSA SHIVJI alipata kusema " Katika kutilia mashaka kitu maranyingi watu hupata ukweli katika hicho kitu"
Nilikuwa muumini mzuri sana wa siasa za ZITO miaka michache iliyopita, kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele namfananisha ZITO na aliyekuwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kununuliwa na magamba Dk walid Aman Kabouru, hawa watu wanatoka sehemu moja (Kigoma), hata kama anavaa magwanda ya Chadema lakini ukimchunguza nyendo zake na kauli zake anawafanya watu wapate fursa ya kumuweka katika kundi la watu wasiliti wa chama,
Niwakumbushe kidogo; Kuna wakati gazeti la MWANAHALISI lilinasa mawasiliano yake na magamba na majambazi wa uchumi wetu ambao wanatamalaki mitaani na kubebwa na mbeleko ya ccm,
Si hivyo tu gazeti hilo lilienda mbele kwa kunasa mawasiliano yake na watu wa TIS na msemaje wake jack zoka, mwandishi aliweka bayana kilichokuwa kikizungumzwa na hao jamaa.

Kimsingi ni haki yake kuwasiliana na yeyote yule ambaye moyo wake umemkubali lakini kwa nafasi aliyonayo katika chama ZITO hapaswi kuwa na nyendo kama zile, na hapo anatoa mwanya kwa Watanzania kumfahamu zaidi kwa mtizamo hasi!
Lakini pia mwenendo wake unaonyesha ni mtu asiyetabirika, kama ambavyo mleta uzi huu hapa JF alivyomchora. Wachangiaji wengi wako bias na mleta uzi, na hii ni kwa sababu moja tu, wengi wao ni wapenzi wa CDM na hivyo wanadhani unapoainisha matatizo hapa Jf wanaona kuwa unataka kuivuruga CDM! Jamani chondechonde! Hizi ni tabia za wana CCM ambao hawapendi kuambiwa ukweli, na wote ni mashahidi mnavyoshuhudia kinavyoporomoka kwa kasi ya ajabu.
Mleta uzi hakuwa na unafiki, bali anatimiza wajibu wake wa ushauri na kujenga chama, mnapoviza na kubaka uhuru wake kutoa maoni hamuwi tofauti na magamba ccm!
 
hoja yako haina ushahidi zaidi ya vidata vya kipuuzi ambavyo havilingani na mazuri aliofanyia wananchi wa jimbo lake, njoo kigoma uone. Zito ni mwanasiasa si mpinzani, wapinzani ndo wanapinga hata maendeleo so wat f akiwa na urafiki na baadhi ya wana ccm 4 good ila hafati ujinga wao? au huo urafiki ukawa unalipa kwa wa2 wake? we nimegundua unadhani upinzani ni kubisha tuuuu acha uoga bana
 
Zitto ana identity problem; chadema hapendwi (of course dini yake ndio issue)

Anachofanya ni ubishi tu huko chadema anatakiwa aondoke..

Pro.ABDALAH SAFARI NI MKRISTO.HOJA YA KIJINGA NI YA UDINI,UKABILA.SIPATI PICHA SIKU MZUNGU,MHINDI AU MWARABU AKIGOMBEA URAIS WADINI,WAKABILA NA WARANGI ITAKUWAJE?
 
Back
Top Bottom