Sababu za ACT kukubalika

Sababu za ACT kukubalika

Hivi ACT nini jamani?,mbona JF ndo kinasemewa sana?.Huku Arusha hakiko,kiko kinadharia zaidi,yaani JF,kuliko uhalisia.

Arusha ndo nini?, iyo arusha hata humu jf cjawahi ickia, au unataka kuipa umaarufu syendhi dhako pambafu mpxiiiii

Watoto bwana
 
😛eace:ihi ndio mpango mzima,akaka chama kenu kasubiri kufuata kaburi la [adc][cck] cdm haikujengwa kwa miezi2 au kupitia mitandao kama ninyi. kimejengwa kwa miaka mingi kazi mnayo. ninyi mnaozani mtaimaliza chadema kupitia act ni kupoteza muda wenu.

Hata sijaelewa ulichoandika, umemaanisha nini?
 
Uzalendo,mikakati mizuri na uweledi wa viongozi,kiukweli Act inafanya vizuri sana
 
ACT

Ndio chama pekee kilichokubalika mapema tangu kipatiwe usajili wa muda. Hakuna mkono wa mtu, bali watanzania wameielewa ile misingi yetu kumi, na wanaamini ndio njia pekee ya kutufikisha katika maendeleo himilivu.

Uzalendo
Usawa
Uadilifu
Uwazi
Uwajibikaji
Demokrasia Rasilimali
Hifadhi ya jamii
Utu
Umoja wa Afrika
Kujitegemea, bidii na weledi katika kazi.

Njano5.
0784845394

Kwa vile mkilala mnaota mmekubalika doesn't mean kiuhalisi mmekubalika. Ninyi ni matapeli msio na mwelekeo. Chama gani hiki kinachoshinda JF kujihadaa kuwa kinakubalika? Amin nawaambiwa, one day you are going to pay kwa mkakati wenu haramu wa kupunguza kura japo kiduchu za Wapinzani hapo mwakani.
 
Back
Top Bottom