Recent content by mwanguku amanyisye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Azam yapangwa na El-Mereikh

    Mmmh! !
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Ratiba ya 16 bora ya ligi ya Mabingwa Ulaya

    Ratiba iko fair kumbuka hiyo ni ligi ya mabingwa lolote linaweza tokea japo afadhali tumekutana na hao Monaco
  3. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    That's true Bro. Na wenger anastahili kikombe hiki kukinywa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Cesc Fabregas

    Derby County
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wacha1 kila mmoja ana uhuru wakutoa maoni yake na jinsi anavyofeel kuhusu wenger wote tumeanza ishabikia Arsenal toka kitambo sana tunafaham Wenger katutoa wapi but hiyo sio excuse ya kuendelea kuvumilia haya madudu ya sasa about 5th season consecutively tupo vilevile hata hao wengine wakipona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli mndengereko unachoongea kipa nae hakua sawa pale golini lakini lawama zote wenger anastahili anashindwa kwenda na wakati hizi sio zama za kukuza wachezaji ni kuwapa nafasi ready made player
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mashabiki wengine bana lazima tufike kipindi tukubali uwezo wa Arsene Wenger kwa enzi hizi hamna kitu anakosa vitu vingi sana hata aina ya wachezaji yeye anaopenda waanzisha first eleven hawaeleweki mfano Olivier Giroud huyu jamaa uwa akianza uwa naamini uwanjani tunakua pungufu kwasababu ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    nimekuelewa Mr yes, clouds fm wanastahili pongezi kwa haya mashindano na Dr.Mwaka pia binafsi nadhani hiyo ni baadhi ya mambo yanayohitaji kushughulikiwa sheria ziwekwe hata kama itaruhusu wachezaji wa ligi kuu basi wawe wachache sana ila kwa maoni yangu naona ingekua vema wachezaji wa ligi kuu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Nashukuru kwa response mkuu raisi Jamal Malinzi pia angalau napata picha kinachoendelea TFF lakini mkuu huoni kama una mambo mengi kufanya kwa muda mfupi huoni hili litaleta shida ukizingatia rasilimali pesa inaweza kuwa shida kwann usiwe na mambo machache na uyape kipaumbele?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Toto ikipanda VPL Itaipa heshima jiji la Mwanza

    Mi sio shabiki wa simba wala yanga mi mbeya city
  11. M

    JamiiForums Tanzania Toto ikipanda VPL Itaipa heshima jiji la Mwanza

    Hata ikipanda itashuka tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Toto ikipanda VPL Itaipa heshima jiji la Mwanza

    Hamna kitu hiyo timu yenu inaweza ifunga Simba tu eti inaundugu na Yanga sc ikikutana na Tim nyngne inapgwa na Yanga sc ndo kabisa kama mwanamke malaya mi sitamani hata kuisikia bora ingekua ile Mwanza United kwani ilipotelea wapi? Coz mitim kama Toto imeptwa na wakati saiz tunataka timu ambazo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Daraja la Kwanza 2014/15, updates hapa

    Kimondo fc timu bora toka mbeya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Hivi hii timu ya taifa tuna malengo gani? Yani tunajiandaa kwalipi? Hivi hakuna haja ya kuanza kuwekeza kwenye migogoro let's focus CHAN Mwakani na CAN 2017& 2019 hizi mambo za migogoro hatufiki popote
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    TFF hii ya kwako mkuu hamna kitu kama FAT tu enzi hizo sioni haja ya wewe kukaimu shughuli karibu zote kwanini most of the time wewe ndo unakua msemaji stay as a president mambo ya mipasho tupa kulee
Back
Top Bottom