Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 668
- 347
- Thread starter
- #61
Uwanja wa Ccm Vwawa Ni mapumziko Kimondo 0 Kurugenzi Mufindi 0, Kurugenzi wanacheza kujihami wanasaka droo, naona kujiangusha kwingi na kupoteza muda
matokeo hadi mwisho wa mchezo yalikuaje..
Mwakan nasikia zinapanda timu nne na timu mbili znashuka daraja
Baada ya mechi za jana
Toto 4-2 geita. Game imeisha game ilikua derby, game imechafuka
matokeo ya jana yalikuwaje?