Recent content by mwangubii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akijibu maswali haya atakuwa Rais bora wa Afrika wa karne ya 21

    Hata ma CCM mnaweza kumsaidia kujibu maswali mwenyekiti wenu wa chama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Q-NET Kilimanjaro na Arusha zafungwa. DC Sabaya apongezwa

    Wafungwe hao waliotapeliwa liwe fundisho, ukiona mtu anataka kukupa sijui diri au utafanikiwa ukifanya hivi, piga keleleeee za kuomba msaada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Kuna wakati jiwe simkubali, wakati mwingine namkubali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli huwa haujifichi - Kilichomleta Filipe Nyusi

    Hebu niwape ukweli wa hawa jamaa, Alshababy wa Cabo delgado, kwanza wanatumia Uisilamu kama kivuli, ingawa Wasilamu na misikiti yote wanapingana nao. Hawa wana maajent au madarali wafanyabiashara ambao hulipwa pesa ndefu kwa ajili ya kuwasambazia maitaji yao, kumbuka wao wanakaa porini lakini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Wewe umerogwa umelishwa limbwata, huna dada uwauzie hiyo kesi, huyo anajua kabisa kakufanya zezeta kwanza kabira gani wewe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atema cheche kuhusu miradi inayoendelea Chato

    Hata wakati wa utawala wa mabuto seseko kuna wajinga waliokuwaa wanamtete kwa aliyokuwa akiyafanya, lakini mda ni rafiki kila kitu kimebaki magofu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Mara nyingi inasababishwa na umaskini wa muhusika, hizi tabia wanazo sana watu wanaotokea uswahilini, mfano unakuta sikuku hizi za kidini yaani mtu atazunguka hata sehemu 10, zote anataka kula, mpaka unamuonea huruma anavyopata tabu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

    Kwani siku zote hiyo meli Ilikuwa wapi? na kuhusu sement mmeongopa mpaka mmekaa kimya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuache kufurahia mizaha mpaka kwenye mambo Matukufu ya Mungu

    Mungu ni Muumba wako wewe na mimi, aliyeumba kila kitu ambacho jicho lako linaviona na vingine huvioni.Akatuamrisha tumuabudi yeye tu, hana msaidizi wala mshirika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuache kufurahia mizaha mpaka kwenye mambo Matukufu ya Mungu

    N Naomba utuwekee picha ya Yesu original,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    Mama ni mama huyo ndiye Mungu wako wa Pili, Kila atakachokufanyia kibaya kilipe kwa wema, hata angekuwa mkorofi vipi wewe inabidi ujishushe, imekatazwa hata kupaza sauti tu kwake haitakiwi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa Rais kupokea wageni wa kitaifa nyumbani kwake?

    Wenye kumbukumbu watusaidie huu utamaduni kama umeshawahi kufanywa huko nyuma
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

    Huu mziki lazima twenda nao sambamba hamna namna, ni kwende tu kuwekeza chato kwa hii miaka 5 iliyobaki
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji na ujumbe wake kuwasili nchini wakiwa wamevaa barakoa

    Kwa nini uniite Muongo mkubwa?
Back
Top Bottom