Recent content by mwangomo83

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme vs Mjadala wa Bashiru haumsaidii mnyonge

    Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika wafuate walau zamu ya mgao wa kimyakimya.hayo ya Bashiru sizani kama yanatusaidia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Dada wa kazi adaiwa kumnyonga mtoto wa miaka 8

    Da hii habar imenifanya wiki yangu kuwa mbaya sana, imenisikitisha,imenisononesha,imenitia uchungu sana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Najiuliza nini kilimsibu Halima Mdee mpaka kukisaliti chama

    Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama. Hawa wenzake walimpa nini mpaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Yes nakuunga mkono 100%,Dodoma wanaiforce tu kuijenga, bila Serikali kuijenga,ingepitwa hata na Katavi, Mbeya ilitengwa kwenye miradi mbalimbali na imejengwa na wana mbeya, ni vile watu wa Mbeya ni wachakarikaji sana si wanaume si wanawake,nenda south,nenda msumbiji nenda Malawi,nenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

    Ni kweli huyu jamaa Ni jasiri sijapata kuona, kwa maelfu ya jeshi like lilivyotisha na mavifaa eneo la mpakani nikajua siku mbili tu ukraine anageuzwa juu chini,ukizingatia ukubwa wa jeshi la urusi lenye kuogopwa Duniani,huyu jamaa jasiri sana aisee,anastahili tuzo ya ushujaa hata Kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Israel yavamia msikiti was Al- Aqsa na kujeruhi watu 40

    Hahaha Hilo jibu kiboko!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda Urusi mpaka naumwa

    Wengi wao waliosaidiwa na mrusi waligeuka kuwa madikteta wakubwa kuliko hata ukoloni wenyewe, baada ya nchi nyingi za kiafrica kupata Uhuru mpaka leo Kuna baadhi ya nchi viongozi wake waligeuka na kulewa madaraka kujinufaisha wao na familia zao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ili kuweka mizani sawa usiishie kwa Mbowe tu, msamehe na Sabaya pia

    Unamsema huyuhuyu Sabaya mjivuni, na mwenye dharau, aliemtazama kwa dharau mkuu wa mkoa huku akirekebusha miwani wakati anamuonya aache kutesa watu!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Urusi ilifahamu fika kuwa haitapata uungwaji mkono kutoka mataifa mbalimbali,lakini haikutegemea kabisa kutoungwa mkono kwa kiwango kikubwa namna hii,imegeukwa kila upande,imetengwa kwa kiwango kikubwa,na balaa la uchumi linakuja itaporomoka vibaya mno,inaonekana ni nchi ya maajabu kwa Karne...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Warusi waanza kujitokeza na kuandamana kupinga kinachofanyika dhidi ya ndugu zao Ukraine

    Ni kweli warusi wengi hii Vita hawaitaki sema kwavile jamaa ni mbabe na hawana cha kufanya wanabaki kuumia moyoni wanachofanyiwa ndugu zao,wengi humu wamejaa ushabiki,unafurahia binadamu mwenzako kuuliwa,na ni nchi huru ina maamuz yake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa Umeme na ukimya wa Maharagwe, Makamba na Rais Samia

    Tatizo la umeme halielezeki,haka kamvua ka siku mbili tatu ndio kabisa,wale wateuliwa vijana wanatafuna maisha.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uspika wa Tulia Ackson Hautasaidia lolote Jimbo la Mbeya Mjini, yaweza kuwa ndio mwanzo wa umasikini wa kutisha

    Hivi ujenzi wa barabara nne au hata mbili kutoka uyole mpaka mbalizi uliishia wapi? hivi kwa ukuaji wa jiji la Mbeya hao waheshimiwa kinachowashinda ninini?jiji kabarabara ka njia moja inashindwa hata na baadhi ya mikoa ambayo sio jiji, shame!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Familia za Madagascar 'zinakula matope' kutokana na ukame mbaya

    Hivi kwanini majanga yanapotokea inachukua sana muda kuweza kutatua,Mpaka watu wafe hasa watoto,kuna nchi jirani kuna taasisi nk.zinasubiri shirika la chakula duniani, mpaka likae lijadiri huku watu wanaendeleaje kula matope,ndio ya Rwanda na Burundi kushindwa kuchukua hatua haraka mpaka muone...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu kwa Wakongo (DRC)

    Tusikimbilie kulaumu mataifa ya nje,hata mataifa yaliyoizunguka baadhi yameifanya Congo kuwa hapa ilipo,wamejawa uroho tamaa iliyopitiliza,hata sisi ni wabaya sana Tena Sana,Kuna baadhi ya nchi zinaendesha hata nchi zao kwa uwepo wa Congo,tunabaki kulaumu mataifa ya nje yanafaidika...
Back
Top Bottom