Recent content by Mwangaruka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Yah alishanieleza kila kitu kuhusu yeye na alikuwa msichana bado. Na nilishawahi kukutana na binti mwingine b4 hakuwahi lalamika so kuhusu size sio, iko normal. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Habari zenu wana JF. Nina mpenzi wangu toka nikutane nae analalamika maumivu makali wakati wa tendo na hata baada ya tendo maumivu yanadumu kwa takribani cku mbili mpaka tatu. Hata nimuandae vp lakini tukianza tendo tu basi hali inakuwa sio nzui kwake. Sasa nimejaribu kufikiria nikaona...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Ivi Komba ni wa Nyasa au Mbinga?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuidanganya nafsi yangu, Ronadinho ni bora zaidi ya Messi, CR7 na wengine wote duniani

    Gaucho ni nabii aliyeshushwa kwa ajiri ya kutangaza kitabu kitakatifu cha soka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Pitia pitia mitandaoni dada, kuna fursa nyingi tu hasa za position yako. Ila muombe sana Mungu pia.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    Kweli mkuu hata mimi nimelichungulia hilo. Asante sana kwa ushauri.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Meseji za kwenye simu

    Kwikwikwikwii
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

    Nenda mawasiliano tower.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    msellegx Kweli mkuu ngoja nikasake doo.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    mzee wa_ngada Sijasema siwezi ishi bila yeye mkuu cause mpaka hapa nilipofika nimefika mwenyewe. Na kwa kulijua hilo ndo maana nimeleta mada sehemu sahihi kupata ushauri kutoka kwenu.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    KikulachoChako Asante sana mkuu KikulachoChako sasa nimetambua wapi nakosea. Na ndio maana nikaja huku kwa kujua kabisa nitatambua makosa yangu.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    MTENDAHAKI Mkuu good advice. Asante sana. Cc miss chaga
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    lara 1 Dah hili lina ukweli sana. Ndo maana nimekuja humu kwa kujua nitafungua mind. Asante sana mkuu lara
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    Ntigy Kweli mkuu, ata mi nimeliwaza sana hilo.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    Adimu Kweli mkuu, nitalifanyia kazi hili.
Back
Top Bottom