Recent content by Mwandumi

  1. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Richmond: Watanzania tulimlipa Lowassa Mil 150 kila siku...

    Kama mlikuwa munamlipa na mpaka Leo bado mlipa Richmond maana ccm ni vilaza wakutosha haiwezekani muibiwe na mtu mmoja tu wakati nyie ndio mmeshikilia serekali kweli nimeamini kuwa ninyi nivilaza tena haswa
  2. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Aambiwe kuwa saiz fisiem hawagawi hela tena kama zamani
  3. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

    Nakubaliana wew mkuu ila mkileta mada ya uchumi tuijadili bc tuache Habari za bashite sisi hazitusaidii wala nini kikubwa ni kuulizana kwa nn uchumi ushuke wakati kira ck tunasikia TRA wakisema makusanyo yamevuka lengo Tuachane na bashite tujadili uchumi
  4. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yafuta shtaka la kutakatisha fedha dhidi ya aliyekuwa bosi wa TRA, Harry Kitilya

    Kinacho nishangaxa kesi nyingi serekali inashindwa mahakani nikwamba mawakili wake sio wazuri au kunatatizo gani
  5. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu yupo tayari kunywa Juice ya Ikulu, amuombe radhi Rais kwa kumuita Dikteta

    Kwa nini sasa wew usiwasaidie Mbona watanazia wanakula mlo mmoja na kule bukoba wanalala nje na Rais hajawasaidia au Lisu tu ndio anatoa msaada
  6. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayemkosoa Rais huitwa hudhaniwa kuwa ni mwanachama wa CHADEMA?

    .Wote akili zenu za kijiko Serekali inaongozwa na Ccm sasa ukisifia maana yake wew ni warumumba tu ukipanga hata kama wew sio chadema but ni upinzani
  7. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kuitwa kazini wizara ya afya,jinsia,watoto,wazee na Maendeleo ya jamii

    Hivi wizara bado Dsm au
  8. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yaongoza Afrika kwa kupokea wageni wengi zaidi kwa njia ya anga

    Hao wageni wameigiza faida kiasi gani maana wingi wao sio tija tija how benefit they get us National
  9. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    ila pamoja uzuri wao hawamfikii bashite wangu
  10. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Karagwe: Mkuu wa Wilaya kapotea na Maaskari zaidi ya 60 Pori la Kimisi

    haaaaahaaaaahaaaa msitu wa ajabu huo ngoja tusubiri msemaji wa nchi aje sikuhizi msamajivni yeye tu
  11. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Tusishangilie Magufuli kuruhusu Wimbo wa Ney wa Mitego, ni chambo

    Kuna mtu anatafutwa ngoja utasikia ya
  12. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Ney wa Mitego Ikulu, kufanya Mazungumzo

    Aende aone cha moto
  13. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunyooshe tu,kama ndio hivi wapinzani wanavyo tufanyia sisi WANANCHI..

    Sio wakwanza kusema wapinzani wagonjwa but toka tuanze campen na uchaguzi naona waupande wenu wanaondoka tu sijajuwa ugonjwa huu unafanyaje nakuna mtu mgonjwa sana hata kwenda kuleee upande wapili wa dunia haendi atakuwa Mbowe huyuuuuu
  14. Mwandumi

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

    Ccm hakuna jipya
Back
Top Bottom