Orodha ya kuitwa kazini wizara ya afya,jinsia,watoto,wazee na Maendeleo ya jamii

Tembelea www.moh.go.tz
Majina ya Ku report kazini wizara ya afya
KILICHOPO NI HICHO!!!
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
inawajulisha waliofaulu usaili wa ajira za dharura kupitia ufadhili wa
CDC kuwa wanatakiwa kufika Wizarani Dar es salaam siku ya jumanne
tarehe 04 Aprili, 2017 kuanzia saa tatu asubuhi kwa ajili ya kujaza
mikataba na kupangiwa vituo vya kazi. wito huu ni muhimu wahusika
wote wanatakiwa kufika bila kukosa
Imetolewa na Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Wizara ya afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
 
Majina yapo
 
nenda kwenye download file utaona
 
Hawa lazima waingie kwenye kitabu cha kumbu kumbu,kupata ajira ya kwanza awamu hii ya tano,Sasa ndo mwende mkahudumie wagonjwa,fb na jf muiweke kando
 
Back
Top Bottom