Recent content by mwanauvinza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katuuzia K-Vant feki kisha katutisha. Hakika mwenye pesa mpishe apite!

    Nipo likizo Kahama. Jana jioni rafiki yangu alinunua chupa mbili kubwa za Pombe ya KVant kwenye duka la jumla hapa Mjini. Tulipoanza kutumia nikagundua zina ladha tofauti. Na kweli tulipochunguza zile lebo tukagundua zina utofauti na KVant original. Tulipozirudisha dukani muuzaji akatutisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mshahara TCAA

    Nikupe namba ya Mkurugenzi wa Masoko wa TCAA ni rafiki yangu sana anaitwa Yesaya Mwakifulefule umuulize?
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtoto wa Miaka 10 ameajiriwa kazi za nyumbani Kimara Stop Over, ananyanyaswa sana, Waziri Gwajima msaada wako unahitajika

    Ni suala la wananchi wa eneo husika kwa kushirikiana na Serikali ya Mtaa kumvaa huyo Mama Nancy,kumuhoji na kumuokoa huyo mtoto na sio kusubiri Waziri Kwa issue ndogo kama hiyo
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna utapeli unafanyika Bayport Financial Service, unakopa kwao lakini mpaka makato ya kwanza yanafanyika mkopo uliyoomba haujakufikia!

    Mabenki yote yaliyojaa mitaani unayaacha unaenda kukopa kwa hayo majizi Bayport??ni sawa na mtu anayeacha Sola zote mitaani anaenda kukopa Sola kwa yale majizi ya Monisol Engie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mshahara TCAA

    Hata Interview bado unawaza Mshahara,vijana wa siku hizi mna matatizo sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

    Tangu lini Serikali ya Mtaa ikatoa Hati??hiyo Hati ya Serikali ya Mtaa inasainiwa na nani??Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa,Katibu au nani??kwa ninavyofahamu Hati hutolewa na Wizara na husainiwa na Kamishna wa Ardhi Eneo kutambulika na Serikali ya Mtaa haimaanishi kwamba ni Hati Miliki.Na kimsingi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

    Tabia ya kububujikwa na machozi ni dalili ya USHOGA
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    Kuna mdada mwingine Belinda Ringo aliajiriwa na TPDC mwaka 2007 kama Lawyer. Baada ya mwaka mmoja TPDC wakampeleka UK kusoma Masters. Kufika huko akawehuka kabisa akakataa kurudi Tanzania. TPDC wakamfukuza kazi akiwa hukohuko. Jitihada za Familia yao zikafanikiwa wakamrudisha Tanzania lakini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    Kuna mdada mwingine alikuwa Lawyer wa TPDC anaitwa Belinda Ringo, very bright lady,alipomaliza mwaka mmoja wa ajira akapelekwa na TPDC UK
  10. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mnajiridhisha eti kikosi chenu dhaifu hivyo mlipaswa kufungwa nyingi,hakika manyumbu ni wa ajabu sana,niwakumbushe tu kwamba mimba hutungwa na Bao moja tu yaani mkojo mmoja tu,huhitaji kukojoa mikojo miiiiingi ili mimba iingie. Nyumbu ni Nyumbu tu,akili zenu zipo makalioni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

    Namfahamu huyu Mkurugenzi,kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi alikuwa Mwalimu mwenzetu Tanga huku,kazi kwelikweli
  12. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hata striker hana lolote,ni usenge kumuacha Jesus au Trossad nje na kumpanga Kai mechi ngumu kama hii,Kai ni legelege kama bwabwa,ni mfanyakazi hewa tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nikishaonaga JINGA Havert kwenye list huwa nakereka sana,hili SENGE Arteta sijui linaonaga kipya gani kwa Kai daaah
  14. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Peleka malalamiko yako Jukwaa la Arsenal maana huwa haukauki kule KENGE nyinyi,mnagongwaje back to back tena sebuleni kwenu Anfield?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mimba imeng'ang'ania🤣
Back
Top Bottom