Recent content by mwanashija zulugu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Unajisikiaje kutoa taariza za uongo kamanda hakika nyie ndio mnaotafutwa au umesoma vibaya umeona ya 2016
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    inawezekana boy
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    kuhusu arija mkuu mie naona tupate nafasi kwanza mambo mengine tutapambana tukiwa huko sasa lkn process za awari tushafanya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    OK nimekuelewa sema jeshi linasiri sana tuombe dua tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    NAWAKUMBUSHA JAMANI LEO TRH 26 MLIOSEMA MWEZ WA SABA VIPI TUPO UKINGONI HAKUNA MPYA YOYOTE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    pm ni nn mkuu middle east,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    mkuu hiv nafas zikishatangazwa zinachukua mda gani mpk watu kwenda kikosini kuanza tiz
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    yah ni kwel mie pia nilipata taarifa hizo jana nikapata matumaini kuwa mzigo upo njiani unakuja> so tuvute subira tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    mie ntafurah sana kama siku moja tutakutana vikosini huko na haya mambo tunayobishana utata utaisha.kikubwa nafasi zitoke tukapige kazi tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    kwa ushauri wangu wana JF tujaribuni kupeana taariza za kwel maana wengine hatuna baba kantuma hapa ambaye anaweza akanipa taariza za kwel zaidi. mkuu kasema tukae makini taarifa za JKT zinatoka je ni kwel au nae anahisi tu? plz tusiongee mahisio yetu tu .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    jeshi halifundishi roho mbaya kama unaroho mbaya utakuwa umezaliwa nayo tu mkuu jeshi lafundisha ujasiri ktk kila kikwazo na si roho mbaya
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    jaman kwa watakaozisikia haraka tujuzane plz
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    nimeenda kuulizia vituo 3 vya polisi wananiambia nafasi za jeshi la polis hazijatoka au mnisaidie hizo mlizozisikia zipo mkoa gan mie nipo mara
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    hiz nafasi za jkt mpk lini sasa?
Back
Top Bottom