Recent content by mwanasele

  1. mwanasele

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Fisiem inatawala masikini kama ww ila matajiri hata haina nguvu nao hata kidgo hayo wawazo yako unawaza ukiwa ndotoni
  2. mwanasele

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Nchi yetu haina udini wala ukabila wala ukanda ila sisiem lowasa ndo dawa yenu mwaka huu....#tupotayari mabadiliko2015 lowassa ur vote
  3. mwanasele

    CHADEMA wamhujumu Lowassa rasmi, wavunja UKAWA kusini, CUF kumwaga mboga

    "Tuje 2nunue mazao yenu kwa kuwalalieni"mungu cyo mjinga kawa huyu ngedere 2015 hakuna ---- mkatawale vichaa milembe mwaka huu mnakaa
  4. mwanasele

    Wagombea Urais wote kupimwa afya ya mwili na utimamu wa akili

    Huko unakotaka niende Cwezi coz sina element za kishoga kama zako ila nafocus Misingi na maadili mema
  5. mwanasele

    Wagombea Urais wote kupimwa afya ya mwili na utimamu wa akili

    Hata kama jenga hoja Sasa mbona unalopoka Ovyooo au unamatatizo ya akili Tujue kabsa tusihangaike na ww maana unatoa statistic za kiboya 2 kuna haja ya kukupima akili inawezekana hujui hata unachokitaka chief.. #2015 changes is inevitable
  6. mwanasele

    Wagombea Urais wote kupimwa afya ya mwili na utimamu wa akili

    Chief kama ww ni chama cha mapinduzi jaribu kubase kune ilani ya chama ili watu tuelewe vzur sasa matusi na kejeli sijui kama ni kipaumbele cha watanzania mwaka huu jikite kueleza sera maana matusi hayawezi kumfanya mtu amchague mgombea wako ila utazidi kusambaza chuki kwa watz na watachukia...
  7. mwanasele

    Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Watanzania itatuchukua muda sana Ningewaona ya maana kama mngekuwa mna list sera za kila chama na kuzichambua na sisi ambao hatuna vyama 2jua 2nachagua chama gani lkn mnaishia majungu kama wamama wa uswahilini wanaouza vitumbua kwa style hii 2tawacndikiza watu wale wale tangia nchi ipate uhuru...
  8. mwanasele

    Dr. Magufuli "a man with no vision"

    Umeongea vizur sana chamsingi tusubiri tusikie sera matusi kejeli hayawezi kutujenga pima sera usiangalie chama lasivyo mtaishia kulalamika mpka mnaingia kaburini,nikutoe wasiwasi kaka kuna mdahalo mkubwa sana mwezi ujao ambao unaandaliwa na jumuia ya wafanyabiashara tz iyakayo fanyika mlimani...
  9. mwanasele

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Pole pole njaa inamsumbua mpka anatia huruma maana hasomi alama za wakati hataki kuelewa hata picha
  10. mwanasele

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Sisi siyo wajinga kama Ww tunajua na tunaakili zetu timamu ww hangaika ila kumbuka mabadiliko mwaka huu is innevitable..
  11. mwanasele

    Kukubalika kwa Lowassa: Pesa, Ujinga, Upumbavu au kuichukia CCM?

    ✌✌✌ tunataka hoja kama zako kaka hongera sana watanzania wanataka mabadiliko mwaka huu na siyo ki2 kingine so kuchafuana na kunyosheana vidole sijui kama ndo mahitaji ya watanzania mwaka huu...!!!
  12. mwanasele

    Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

    Kupanga ni kuchagua na kumbuka Mapenzi ni feelings so usimjudge diamond maana hakuna sehem imeandikwa ni dhambi kuoa mwanamke aliyekuwa na watt 2fikie mahali 2ongee vitu vya maana coz maisha yake hayakupi ww kula hata ukisema mpka mwaka kesho
  13. mwanasele

    ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

    Kweli akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa masikini anamwombea tajiri njaa duh..nashukuru akili yng inauwezo wa kupambanua mambo pole mtanzania uliyekubali kufa masikini kwa kuwaza ujinga
  14. mwanasele

    Huu ndio ukweli unaomuhusu Lowassa, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Seif na Mbowe

    Napata shida sana Kuwaelewa maana hamtusaidii Kujua sera na dhamira ya wagombea ila mmejikita kutaja majina na kuongea vitu vya kusadikika hakika havitujengi hata kidgo
  15. mwanasele

    Ni kweli CHADEMA watachukua nchi mwaka 2015

    Kula yako Peleka ukawa hutajuta
Back
Top Bottom