Ni kweli CHADEMA watachukua nchi mwaka 2015

Baraba

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
62
Reaction score
27
Nimekuwa nikijuuliza maswali meng kuhusu uchanguzi mkuu wa mwaka huu. Baada ya lowasa kuhama chama cha ccm na kujiuga ukawa kupitia chadema, inaonekana mh. Lowasa anapendwa na watu weng, juzi alipochukua fomu ya uraisi alipata wadhamini 1.6m ambayo ni nusu ya kura aliyopata dr. Slaa kwenye uchanguzi wa mwaka 2010. But tujiulize ni kweli mh. Lowasa anaenda kumshinda dr. John pombe magufuli kwenye uchanguzi mkuu wa mwenzi October
 
Usiwe na shaka Huu ni mpango wa MUNGU
 
Vyama ambavyo mtu mmoja anaweza akavichukua na kuvifinyangafinyanga kama ugali havifai kuongoza nchi.
 
Thubutu kwa kipi ingewezekana ila kwa SSA hiwezekaniki tena ujue hiii figisu figisu watu na akili zao wamestuka walimpondaaa saaana Leo yy ndo anafaaa kwa hili wengi waliobaki ni vishabikii maandazi ila viti bungeni wanaweza kuongeza vingi so urais
 
Wamefeli kuongoza nchi ya maziwa na asali,kwa hiyo wapewe hata hao ukawa wabadili japo haitakua rahisi mfumo mbovu wa mapato na matumizi ya kodi.
 
Mkuu Lowassa anaenda kushinda huu uchaguzi 100% tujitokeze kupiga kura nina imani na lowassa.
 
magufuli 55% lowasa 45%. mtikilia/limo/dovutwa 0%

Nimekuwa nikijuuliza maswali meng kuhusu uchanguzi mkuu wa mwaka huu. Baada ya lowasa kuhama chama cha ccm na kujiuga ukawa kupitia chadema, inaonekana mh. Lowasa anapendwa na watu weng, juzi alipochukua fomu ya uraisi alipata wadhamini 1.6m ambayo ni nusu ya kura aliyopata dr. Slaa kwenye uchanguzi wa mwaka 2010. But tujiulize ni kweli mh. Lowasa anaenda kumshinda dr. John pombe magufuli kwenye uchanguzi mkuu wa mwenzi October
 
Lowasa anachukua nchi gani? Kenya au Uganda Rwanda? Naomba ufafanuzi please
 
Nimekuwa nikijuuliza maswali meng kuhusu uchanguzi mkuu wa mwaka huu. Baada ya lowasa kuhama chama cha ccm na kujiuga ukawa kupitia chadema, inaonekana mh. Lowasa anapendwa na watu weng, juzi alipochukua fomu ya uraisi alipata wadhamini 1.6m ambayo ni nusu ya kura aliyopata dr. Slaa kwenye uchanguzi wa mwaka 2010. But tujiulize ni kweli mh. Lowasa anaenda kumshinda dr. John pombe magufuli kwenye uchanguzi mkuu wa mwenzi October

Wataichukuwa Monduli Na Hai Tu Na Labda Kidogo Kibororoni Lakini Si Tanzania Period.
 
Hili sio swali, yaani usiulize majibu, kama unaswali ndio uulize!.

Pasco

Kaka Pasco heahima kwako! Wewe ni mchambuzi wa siasa hapa JF ninayekukubali sana na nadhani unajua kwa vile niliwahi kukuambia kabla. Tukiachana na mapenzi uliyo nayo kwa "mtu wetu", itendee haki taaluma yako. Je ni kweli "mtu wetu" atashinda!? Kwa vigezo vipi? Mbinu zipi na hasa ukizingatia kuna goli la mkono!? Je wenzatu wanaweza iachia nchi smoothly au yatatukuta ya Kenya na kwingineko barani Africa ambapo wapunzani walibeba ndoo ya ushindi!?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu , 'mtu wetu' atashinda kwa sababu tuu ndio mpango wa Mungu!, hakuna vigezo wala mbinu!.

Goli la mkono ni mpango wa shetani, this time around, shetani hana mamlaka kwa walio katika mpango wa Mungu!.

Pasco
 
Ukawa watachukua nchi kabla ya Misa ya kwanza kwisha. Mapema kabisa asubuhi we will show sign of victory ✌✌✌
 
Thubutu kwa kipi ingewezekana ila kwa SSA hiwezekaniki tena ujue hiii figisu figisu watu na akili zao wamestuka walimpondaaa saaana Leo yy ndo anafaaa kwa hili wengi waliobaki ni vishabikii maandazi ila viti bungeni wanaweza kuongeza vingi so urais

Observation yake ni anapo kwenda kutafuta wadhamini kidogo ndani ya muda mdogo kwenye eneo dogo akapata watu mil 1.6, Je hicho kiashiria ni cha watu kumustuka? Sasa muda utakapotosha huoni itakuwa balaa?
 
Nimekuwa nikijuuliza maswali meng kuhusu uchanguzi mkuu wa mwaka huu. Baada ya lowasa kuhama chama cha ccm na kujiuga ukawa kupitia chadema, inaonekana mh. Lowasa anapendwa na watu weng, juzi alipochukua fomu ya uraisi alipata wadhamini 1.6m ambayo ni nusu ya kura aliyopata dr. Slaa kwenye uchanguzi wa mwaka 2010. But tujiulize ni kweli mh. Lowasa anaenda kumshinda dr. John pombe magufuli kwenye uchanguzi mkuu wa mwenzi October

Tusubiri kampeni zianze. Usipotoshwe na "mafuriko" ya Dar na Arusha. Ushindi wa CCM unajulikana hutokea wapi. Kubwa ni kwamba Lowassa atabaki rais wa UKAWA
 
Kwa maneno ya vitisho kama mtakiona cha mtema kuni na mbinu tunazo sisi wazoefu alafu yanasemwa na kamanda wao ujue kamanda na timu yake wamechanganyikiwa hii viti wamepigwa bila kuingia uwanjani nakuhakikishia ccm tunaipiga misa ya kwanza jumapili October ccm itakuwa ishasahaulika ccm imechokwa na wakulima wanaojifanya ndio hazina yao umeshuhudia walivyolima serikali ikashindwa kuwakopa maindi yao yakahatibika ni serikali ya Tanzania pekee inayoshindwa hadi kukopa
 
Tusubiri kampeni zianze. Usipotoshwe na "mafuriko" ya Dar na Arusha. Ushindi wa CCM unajulikana hutokea wapi. Kubwa ni kwamba Lowassa atabaki rais wa UKAWA
Ungejua ccm inachukiwa vijijini kuliko sehemu yoyote usingesema chochote huu ndio mwisho wenu acha kuweweseka
 
Kuiondoa ccm madarakan sio jambo jepesi kikubwa ni kujitokeza tarehd 25th October kupiga kura. Kwakuwa watu ni rahisi sana kusema ccm itashindwa wakat awajitokez kupiga kura so wakati wa mabadiliko ni sasa tujitokeze siku ya kupiga kura tufanye change.
 
Back
Top Bottom