Dr. Magufuli "a man with no vision"

Dr. Magufuli "a man with no vision"

Natamani Kuwe Na Presidential Debates...Hz Figisufigisu Sijui Hana Vision Ztajulikana Tu...By The Way 4days Remainng Kufikia Ile Siku Ya Hawa Tunaosema Mara Wengne Wagongjwa,hawana Vision Watueleze Waliyo Nayo Na Chama Chao....

hatuhitaji mgombea wetu akalishwe sehemu moja na mwana ccm,hatuna cha kujadiliana na ccm,tuna kazi ya kuitoa tu
 
Kimaingi Ilani ya chama ndo vision ya kwanza na yamsingi kabisa katika kuletea nchi mabadiliko,,then mitazamo ya mgombea ni nyongeza na ndo mana Ilani ya CCM ina kila kitu unachodhani kina hitajika kwa sasa kinachotakiwa ni mtu makini atakaye weza kuisimamia na huyo si mwingine bali ni JPM..poleni nyinyi ambao hata ilani yenu haijulikani mnategemea kuongozwa kwa maono ya lowasa,,maono ya kuwajali bodaboda,mama ntilie na kumtoa babu seya jela hiyo ndo vision ya mgombea wenu..!!!
 
msimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia
Kiuhalisia hakuna Wizara aliyosimamia ambayo haijawahi kuwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma
1. Uvuvi - kaitia hasara Serikali Billion 3 kwa kukamata Meri pasipo kutafakari.
2. Ardhi Nyumba na Makazi - Kauza nyumba za Serikali kwa bei chee na zingine kauzia mahawara zake na hata fedha za uuzaji huo hazijulikani zilikokwenda.
3. Wizara ya Ujenzi zimepotea Tsh. Billion 252 ameshindwa kuzitolea maelezo.

Je wewe uliyeandika hayo unasemaje kuhusu Magufuli na utendaji wake katika Wizara mbalimbali alizowekwa?
 
hajui kuzifafanua sera za kijamaa wala kibepari,tangu awe mwana ccm sijawahi kumsikia akiongelea chochote kuhusu TANU,ASP,inawezekana hajui hata mapinduzi ya zanzibar yalitokeaje,hajui karume alifariki lini, hajawahi kushiriki mdahalo wowote wa kijamii iwe ndani au nje ya nchi ili watu wajue msimamo wake kijamii,kisiasa na kiuchumi,amekazana kusema hatatuangusha utafikiri yeye ni mcheza mieleka
hii imenigusa sana binafsi sijawahi hata kumsikia akiongelea mungano. prof. mwandosya alisema huyu jamaa hajawahi hata kuwa mwenye kiti wa shina sasa mambo kama hayo atajulia wapi?? laptop kwa kila mwalimu na million 50 kila jijini hata mengi anaweza kufanya hivyo.
 
endapo kikwete atamataka magufuli kupiga deki nyumbani kwake sidhani kama atakataa kwajinsi anavyo mtegemea.
 
He is too reactive than Proactive! Rejea kwenye Uwaziri wake wa Ujenzi na Uvuvi ndio utajua huyu jamaa mengi ni hasara kubwa!
 
msimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia
Hutakiwi kuuliza idara alizosimamia kujua magufuri hana vision wala vipaumbele, uulize idara kwani alikua anafanyia kazi idara au watu?

angalia barabara zinabomoka baada ya wiki 2,madaraja yanabomoka hata kwa kupita bajaji tu huku yakiwa yamegharimu pesa nyingi za umma,vivuko vinaharibika hata kabla havijaanza kazi,nyumba zainaanguka hata kabla hazijaisha rejea gorofa la msikiti kariakoo likaua watu.

Angalia magufuri hana vision wala vipaumbele,huwezi kua na akili timamu kama waziri upepele taa za kuongozea magari chato zikaongoze baskeli na bodaboda huku miji na majiji yakiwa hayana taa na watoto wa shule wanagongwa kila siku. huwezi kua na akili timamu ukanunua kivuko cha bagamoyo wakati kigamboni vivuko havitoshi,ivuko chenyewe kibovu alafu kinafanya safari mara moja kwa wiki kinasafiri masaa 3 wakati kwa daladala dar bagamoyo ni saa moja.

Watu wa chato wenyewe waliona hafai wakamwambia hawamchagui tena akajaribu urais, hatuwezi kumpa mtu nchi akajaribu,hakujipanga na hana malengo. yeye bbinafsi hana malengo anategemea ccm wampe malengo,huu ni utaahira.
 
Vission yake kubwa ni kuwa nakuja matatizo yenu, akiulizwa matatizo gani hana majibu
 
Kiuhalisia hakuna Wizara aliyosimamia ambayo haijawahi kuwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma
1. Uvuvi - kaitia hasara Serikali Billion 3 kwa kukamata Meri pasipo kutafakari.
2. Ardhi Nyumba na Makazi - Kauza nyumba za Serikali kwa bei chee na zingine kauzia mahawara zake na hata fedha za uuzaji huo hazijulikani zilikokwenda.
3. Wizara ya Ujenzi zimepotea Tsh. Billion 252 ameshindwa kuzitolea maelezo.

Je wewe uliyeandika hayo unasemaje kuhusu Magufuli na utendaji wake katika Wizara mbalimbali alizowekwa?

Na barabara anazojenga zote ni chini ya viwango.
 
ah hahaha hahaaa Magufuriii amejikuta tu anasimamishwa kugombea urais.....yaani ni amechanganyikiwa mana alikuwa anajaribu
 
msimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia

Huko kafanya madudu tu...ww umemwajiri mtu kwa documents na sahihi nyng but unamfanyia ambush ya kumfukuza kazi kwa mane no...inaingia akilini hii!!!!!
 
hatuhitaji mgombea wetu akalishwe sehemu moja na mwana ccm,hatuna cha kujadiliana na ccm,tuna kazi ya kuitoa tu

tatizo wabongo hatuendelei kwa kutoangalii wenzetu wapoje,marekani kitu kilichompa mor credit obama ilikua ni presidential debates,hvohvo kwa kenyatta....na hyo ndo sehemu pekee ambayo vision,mission na weakenes zao tutaweza kuziona,kwa sababu watakua wanaulizwa maswal ya muhimu sio kama kwenye kampeni kila mmoja anaitangaza ilani ya chama chake without wthout any questions frm any1
 
hii imenigusa sana binafsi sijawahi hata kumsikia akiongelea mungano. prof. mwandosya alisema huyu jamaa hajawahi hata kuwa mwenye kiti wa shina sasa mambo kama hayo atajulia wapi?? laptop kwa kila mwalimu na million 50 kila jijini hata mengi anaweza kufanya hivyo.

tunachohitaj watz sio history iliyopita tunachohtaji watanzania ni kumake new history,hata akiwa anajua kiundani muungano haitasaidia kwenye kubadili hali ya nchi yetu....awe alikua mwnykt wa shina au awe co mwnykt wa shina as long as atatupeleka tunapopahtaji he worth to be our leader
 
Natamani Kuwe Na Presidential Debates...Hz Figisufigisu Sijui Hana Vision Ztajulikana Tu...By The Way 4days Remainng Kufikia Ile Siku Ya Hawa Tunaosema Mara Wengne Wagongjwa,hawana Vision Watueleze Waliyo Nayo Na Chama Chao....

Umeongea vizur sana chamsingi tusubiri tusikie sera matusi kejeli hayawezi kutujenga pima sera usiangalie chama lasivyo mtaishia kulalamika mpka mnaingia kaburini,nikutoe wasiwasi kaka kuna mdahalo mkubwa sana mwezi ujao ambao unaandaliwa na jumuia ya wafanyabiashara tz iyakayo fanyika mlimani city ya wagombea urais wote na wabunge
 
cjawah kuona dunian kiongoz wa aina ya magufuli yan naamini huyu jamaa ni empty set kichwan kabsa hv leo unaweza kutaka kuwaongoza watanzania zaid ya milion 40 kwa maamuz magum au mepesi yanategemewa kutoka kwako then ukawa una vision yeyote kweli ya ujuh uwafanyie nn eti unasubili wakina nape,kinana,mangula,na mwenyekiti ndo waamue tufanyiwe nn kwel? niliwai kusema hapa jukwaan kuwa TV itakuwa magogoni remort itakuwa msoga na handeni tanga kwa mzee benten
 
Vission yake kubwa ni kuwa nakuja matatizo yenu, akiulizwa matatizo gani hana majibu

Vyovyote iwavyo, akipewa nchi atakuwa tegemezi sana kuonngozwa na Msoga,
(na watamyumbisha sana!)

Hatutaona jipya zaidi ya kupwaya watu waseme afadhali ya awamu ya nne.
 
Unachoongea sizani kama.umetumia ubongo ama ni maneno ya team fisadi ndio yamekujaa na ya Tapeli Mbowe anaeudanganya umma kwa kuita mtu fisadi ila leo anamuita shujaa na wewe unakubali kwa kushangilia kwa vifijo na unaandamana MAGUFULI NDIO KIONGOZI PEKEE ALIEBAKI NA ATAKAEIKOMBOA TANZANIA
Unajua maana ya KUKOMBOA??????KUMBE TUPO TAABUNI NDANI YA CCM?????MAGUFUL NI CCM ATAKUKOMBOA KWENDA CCM???????JIONGEZE LOWASSA ATATUKOMBOA CC TULIO TESWA NA KUFILISIWA LASILIMALI ZETU TEMBO WAMEISHA UOZO MTUPU HIKO CHAMA subir ukombolewe kilaza wa mabadiliko
 
Back
Top Bottom