Recent content by Mwanantala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kesi za uhujumu uchumi

    Hilo sithubutu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Habari wakili. Naomba kujua kama kesi ya kusafirisha mkaa magunia 20 inastahili kuwa ya uhujumu uchumi. Natanguliza shukrani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kesi za uhujumu uchumi

    Habari wakuu. Naomba kufahamu sifa za kesi za uhujumu uchumi. Je,, mkaa wa tshs laki sita na nusu unastahili kesi ya uhujumu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunataka Ndugai ajiuzulu

    Kama mwananchi wa kawaida, namtaka Ndugai ajiuzulu. Anadhalilisha nchi kwa matamko yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa ajili ya wanyama pori

    Asa Asante sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa ajili ya wanyama pori

    Naomba kujua hifadhi yenye chatu wengi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kanda maalum ya ushirikina

    Kiingereza inatafsiriwa kama " tree variety with poisonous bark".
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kanda maalum ya ushirikina

    Ndugu Mshana naomba kujua sifa na nguvu ya mti uitwao" mwavi".
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kanda maalum ya ushirikina

    Ndugu Mshana naomba kujua sifa na nguvu ya mti uitwao " mwavi".
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ofaaa bab kubwaaa ya magari kutoka Japan

    NAOMBA KUJUA BEI YA LANDCRUISER VX V8 YA MWAKA 2014 NYEUSI, PETROL NA NGOZI
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kishoka maarufu wa Kike Jasmin Anaswa Bukoba na TANESCO

    Kishoka sasa amesomewa mashitaka mawili katika mahakama ya hakimu mkazi Bukoba kwa kutishia kumuua meneja wa Tanesco na kujifanya afisa usalama wa shirika. Kakutwa na nyaraka nyingi za maombi ya kazi na ya umeme. Inasemekana kafika hapo baada ya kunyimwa ushirikiano na meneja wa sasa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mpanda kati bado tu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    asante sana kwa ushirikiano wako. Usiku mwema. Bahati nzuri yuko shule tayari juma la tatu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    s.177/031 paschal p. Mgawe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Paschal P. MGAWE. NASHUKURU KWA USHIRIKIANO.
Back
Top Bottom