Kesi za uhujumu uchumi

Mwanantala

Senior Member
May 13, 2010
130
26
Habari wakuu. Naomba kufahamu sifa za kesi za uhujumu uchumi. Je,, mkaa wa tshs laki sita na nusu unastahili kesi ya uhujumu?
 
Kama unafanya harakati za UKAWA,

Hata wa BUKU JERO tu.

unatosha kabisa kukubariki kesi ya Uhujumu uchumi pamoja na Utakatishaji.

Ukawekwa sero bila dhamana

Huku upelelezi juu ya Utakatishaji huo ukiendelea Miaka na Miaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom