Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,012
- 1,647
Hakuna gari hili kwa wajapan!Cammi terios
Cami ni Toyota na Terios ni Daihatsu!
Hakuna gari hili kwa wajapan!Cammi terios
Wizi usio na hatia!
Sasa kama hauwezi kuafford siupite tuu kimya kimya.Wizi usio na hatia!
mkuu hebu nieleweshe kuhusu 2wd na 4wd.Vehicle Information
Stock No. 351160
Year 2000
Month 6
Maker TOYOTA
Name ALTEZZA
Chassis No. GXE10-0045544
Transmission AT
Drive 2WD
Color SILVER
PS PS
PW PW
AC AC
Door 4
Seat
Grade AS200 Z-ED
Other AB ABS AW FOG NV
Fuel G
C.C. 2000
Mileage 135,000km
milioni 9.5 total cost paka unaipata mkononi ikiwa na vibali vyote KASORO BIMA TU
View attachment 519528 View attachment 519529 View attachment 519530 View attachment 519531 View attachment 519532
Grand Mark 2 Mkuu
How about Toyota brevis black or white, 2450cc ya mwaka 2001-2007. thanka in advance
Vipi bei ya defender mkuu
Ooopssuzuki kei hatuna boss
mkipata wateja mlipe kiasi kwa JF
Hizo bei yake zikoje???Kwasasa RAV4 tulizo nazo kwenye stocks zetu millage zipo juu ya 90000