Recent content by Mwananchi hewa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Biashara ya mabasi, malori naijua faida yake inshu ipo katika mabasi
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihisi upweke na sijui shida ni nini

    Bado hujaujua upweke ndugu Na wengine hatuna hao unaosema Na hiyo social network inaongeza upweke na siyo kupunguza Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madereva waandamana bandari

    Madereva wa malori yanayotumia bandari ya Dar es Salaam waandamana kulalamikia ucheleweshaji wakushgulikiwa taratibu za mizigo yao na kusababisha kukaa muda mrefu mpaka wa zaidi ya siku moja bandari na wakidai kuwa ucheleweshaji huo ni scanner za humo kutofanya kazi Kwa ufanisi kwa lisaa moja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

    Umeanza kuufutilia muziki siku hizi ndio maana unasema hivyuo, Nahisi humjui wewe ngwear na hujawahi kumsikiliza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi duniani haina Mbunge Mpinzani?

    Nauliza tu kutaka kujua, kuna nchi yoyote duniani ina mfumo wa vyama vingi halafu katika bunge lao hakuna kiti alichoshinda mpinzani? KUMBUKA : Usitaje nchi zisizo na demokrasia kama Tanzânia
  6. M

    JamiiForums Tanzania WCB hawajaonekana kwenye Msiba wa Mkapa, nini tatizo?

    Hao WCB ndio nini? Katika taifa hawana umuhimu wa kuonekana hata kama walikuwepo ni kina Nani katika msiba wa mtu kama Mkapa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    Hiyo nimeipenda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    Inatiki tena haraka tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    U Unashangaa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    Kivip
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    Duh hiyo kali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    Ndiyo nakaribia kuacha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

    Kila mtu ana sehemu yake ana mipango wengine bar, kitandani na nk. Mimi binafsi mawazo ya mipango yangu naipanga nikiwa 1) Kitandani wakati nautafuta usingizi 2) Katika Daladala 3) Chooni nikijisaidia haja kubwa Je wewe unawazaga wapi mipango yako?
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inauma lakini maisha lazima yasonge mbele

    Ilishanikuta hiyo mimi alisema hana baada ya muda aliniambia hajawahi kunipenda siendani naye wakati nilishamuweka moyoni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tigo kuichukua Zantel Hisa za Serikali ya Zanzibar zinaenda wapi?

    Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kwamba Tigo Itaichukua Zantel moja kwa moja,Ninavyojua mimi Zantel inamilikiwa 51% na Serikali ya Zanzibar na 49% inamilikiwa na Tigo,je wakiichukia Tigo Zanzibar Hisa zao zinaenda wapi? Wajuvi msaada wenu
Back
Top Bottom