Tigo kuichukua Zantel Hisa za Serikali ya Zanzibar zinaenda wapi?

Mwananchi hewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
226
273
Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kwamba Tigo Itaichukua Zantel moja kwa moja,Ninavyojua mimi Zantel inamilikiwa 51% na Serikali ya Zanzibar na 49% inamilikiwa na Tigo,je wakiichukia Tigo Zanzibar Hisa zao zinaenda wapi?
Wajuvi msaada wenu
 
Back
Top Bottom