WCB hawajaonekana kwenye Msiba wa Mkapa, nini tatizo?

Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika rais mstaafu wa awamu ya 3 Hayati BW Mkapa.
Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.
Je nini tatizo?
Wakristo Wana Nyimbo tosha za Msiba. Hawahitaji Bongo Fleva Msibani.
 
Hao WCB ndio nini?
Katika taifa hawana umuhimu wa kuonekana hata kama walikuwepo ni kina Nani katika msiba wa mtu kama Mkapa.
 
Poor mleta mada misukule imempopoa mapovu pole. Tatizo konde alipewa kipaumbele zaidi ndo maana
 
Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.

Je, nini tatizo?
Swali lako linalandana na zile shamra shamra za Dodoma wasanii kibao tuliwaona mpaka Baba Levo kusema walilundikana kama nyumbu sasa sijui waliitwa, wakasubiri na kwenye msiba waitwe? ila hata hapo Uhuru licha ya Mtwara sijui walifika wangapi , si lazima kuhudhuria japo ukilinganisha unafiki wa kukiimbia Chama wakati wa matukio ya furaha tuu si busara sana.

Pia nadhani wanachoogopa wasanii wakubwa ni kwenda kwenye misiba kama hiyo na kukosa sehemu maalumu ya kukaa kutokana na Tittle zao.
Watanzania sio wajinga saaaaana eti msanii akitokea wafanye vurugu labda kipindi shughuli zimeisha labda watu wakiondoka lakini si kati kati ya shughuli ya msiba na kikosi chote kile cha jeshi ukafanye Vurugu ya kumuona msanii kwa lipi?
Kwa Tale watu walifanya Vurugu?

Wakumbuke tu Wajumbe tunawaona........!Makali tunashika sisi ukiacha Kura za maoni hata promo za Kutumbuiza kwenye majukwaa ya Siasa tunapindua
 
Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.

Je, nini tatizo?
Kwani lazima?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom