Recent content by Mwanampuna

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanihamishia familia yake yote kwangu

    Kwa hiyo kama familia ya mkeo ni familia yako pia inamaanisha mwanaume akioa familia nzima ya mwanamke inaamia kwa huyo mwanamke na kumtegemea kwa kila kitu Kuna familia zina mambo ya ajabu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika sambaro

    Ndo inaitwa hivyo hivyo wengi Jaribu kupika utapenda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika sambaro

    Kwa nn unasema hivyo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika sambaro

    Duh ya nn tena?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

    Aah babu we nyakati zimebadilika hatuwez kuvaa kama kama watu wa kale
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika sambaro

    Mahitaji 1.Viazi mbatata kilo 1 2. Mabamia fungu 1 kubwa 3. Mabiringanya makubwa 2 4. Karoti 5. Mafuta ya kupikia 6. Nyanya 7.Vituungu maji 2 8. Swaumu 9. Ndimu 10. Chumvi Jinsi ya kupika 1. Chukua viazi vimenye na uvioshe kisha vipasue mara nne kwa urefu kisha uvikate kwa upana kama unakata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

    Hiyo namba 4 si kwel
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

    Si wavivu hawarusiwi kufanya kaz na waume au baba zao na uzuri pesa ipo hafanyi kaz na anapata mahitaji yote
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Me ni mwanamke,pengine kwel sijijui
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Mmejifunza busara ni kitu muhimu sana kwa mwanamke
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    We acha tu wanaume wanamaudhi alafu siku zote wao wanajiona wamekamilika hawakosei
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Huyo ni mtu mzima na ana akili timamu hawez kukutukana bure lazima kuna jambo kubwa ulomfanyia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenye vifua

    seak=sake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake weupe wanaringa kuliko weusi

    Maneno ya mkosaji hayo
Back
Top Bottom