Umeshauri vema sana kiongozi. Wengine wanamshambulia vikali sana. Nadhani yatupasa tuelelewe kuwa kwenye mitandao biashara zinafanyika Kwa uaminifu zaidi zaidi. Ilitokea mtu ametapeliwa ni utapeli kama utapeli mwingine.. siyo dhambi kufanya biashara Kwa Imani na Kwa uaminifu.
Umeongea vema sana Mkuu. Naye ni Mzimu sema ukiwaleza wafia dini. Mmoja nimeona anasema Acha Imani potofu, nikajiuliza mwenye Imani potofu yupi anaeabudu Mila zake au anaeabudu za wazungu, yupi amepotoka kiimani.?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naamini wewe ndiye unaimani potofu. huyu anaongelea Imani ya asili yake. Kumbuka hapo watu waliku wanapajua kuwa Pana volcano, na utaratibu wake wa kuituliza kwa asili.
NIMESHINDWA hata kuelewa, maana naona maneno niyoyajua mengi nashindwa kupata maana, kiswahili siyo kingereza siyo, hata sijaelewa. UNGA UMEZIDI MAJI LEO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.