Recent content by mwanamasala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Israel kills Hamas Military Chief Said Khalil al Jabari opening 'the gates of Hell'...

    Kwa nini afanya hivyo? Hata sisi bongo kama makombora yanatoka Uganda na kupiga Bukoba,itabidi tuingie Mutukula kumtoa nduli. Ndio Nyerere alifanya hivyo. HAMAS provocation ,haisaidii kabisa.Waarabu wenye akili wanajua hivyo. Al Shabab /HAMAS all have the same ideology.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Israel ranked number one in most militarized country in the world.

    Tanzania tunawahitaji Mayahudi zaidi ya Waarabu. Waarabu wametupa nini zaidi? Tangu tulipowakanya Majews,ndipo taiafa letu limekwenda chini zaidi na zaidi? Mwarabu ametuachia ngono.angalia sehemu zote alizofikia mwarabu tanzania! Utanipa jibu. Civil engineers tuambieni projects za Mjew...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fake phd in Tanzania

    Newt Gingrich ana good Phd ya history,lakini kamwe hutamsikia anajiita Dr Ex chancellor Gordon Brown pia ana Phd ya history toka Edinburgh,sikuwahi hata kumsikia anajiita hivyo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fake phd in Tanzania

    Secretary Gates ana Phd lakini hakuwahi kujiita Dr Secretary Rice ana Phd lakini hakuwahi kujiita Dr General Petraeus ana Phd lakini hakuwahi kujiita Dr. Na hizi Phd zao sio za Commonwealth Open University au Pacific au Mzumbe! Marekani wengi masenators au Reps wana Juris Doctor(JD) za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi waliojeruhi mapadri watiwa mbaroni ''Kamanda Kamuhanda''

    Kama tunafikia hata mapadri kushambuliwa,tunatatizo kubwa sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fake phd in Tanzania

    The Tanzania Commission for Universities (TCU) could soon have mandate to disqualify people holding suspicious academic credentials if plans to enact a Bill to that effect takes hold, the Guardian can report. A reliable source at the Commission told the Guardian this week that proposals for the...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Java code

    public class FishTankVolume { public static void main(String[] args) { int width = Integer.parseInt(args[2]); int depth = Integer.parseInt(args[4]); int height = Integer.parseInt(args[6]); int volume = width * depth * height; System.out.println("The volume of a tank with...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Lazima siku moja tuamke tuichukue nchi yetu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Makampuni ya simu Tanzania

    Hakuna hata kampuni moja iko kwenye Dar stock Exchange! Unajiuliza kwa nini makampuni haya ,hasa top 5,wanaficha nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Makampuni ya simu Tanzania

    TanzaniaIn September 2010 the penetration rate was estimated at 48.13% over a population estimate of 42.75 million.[62] The country's telcom regulator is TCRA. Rank Operator Technology Subscribers (in millions) Ownership 1 Vodacom GSM 6.878 [147] (Dec 2009) Vodacom (65%) 2 Airtel GSM 4.91...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete nje ya nchi na watu kumi na sita 16 ati wanaita ujumbe.....!!

    Alikuwa na Bono wakihojiwa na Andrea Mitchell wa MSNBC. Angalia kama anaongea vizuri. Sidhani kama hicho Kiingereza ni sahihi!!!!!! msnbc tv
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Phd ya Mzumbe?kama ya Nchimbi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu mpya wa Fedha

    Kalenga MP Dr William Mgimwa said they wanted to be sure that the plan would have impact on the country’s economy, warning if the government failed to draw up a proper budget and control misappropriation of public funds, then the country would not reach far.Dr Mgimwa who is an economist called...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Tuambia na Phd toka chuo gani?fake toka Mzumbe?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Naona UDSM haitoi Economists sasa!Mgimwa na Mkulo ni mediocre wa ki Tanzania.Hawana degree lakini ni mawaziri wa fedha!kicheko na uswahili wetu
Back
Top Bottom