Israel ranked number one in most militarized country in the world.

S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,200
Points
1,250
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,200 1,250
This is according to the report 'Global Militarization Index' issued on13/Nov/2012,by Bonn Internatoonal Centre for Conversion. Iran which is in tug of war with Israel is far in number 34. Syria is number 4,Jordan 5. MY TAKE: Iran,palestina,Egypt nk wana ubavu wa kumpiga huyu mtu?.
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Points
1,195
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 1,195
Israel in America
 
S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,200
Points
1,250
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,200 1,250
This is according to the report 'Global Militarization Index' issued on13/Nov/2012,by Bonn International Centre for Conversion. Iran which is in tug of war with Israel is far in number 34. Syria is number 4,Jordan 5. MY TAKE: Iran,palestina,Egypt nk wana ubavu wa kumpiga huyu mtu?.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,761
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,761 2,000
Vita ni strategies zaidi ya machuma na watu.

Hao waarabu akili zao ni chache na fupi mno kiasi hata uwape silaha zote za marekani hawawezi kuishinda Israel. Na ukumbuke Mayahudi hayanaga huruma kama walivyo waarabu wenyewe kwa hiyo itakuwa vita yenye machungu sana kwa raia
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,995
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,995 2,000
Israel wako wazuri sana in technology

Wako strategic kumbuka 6 days war,Walivyoingia dubai na kuua kiongozi wa Hamas,Sudan juzi na Last week walivyoua kiongozi wa Hamas.

Nimeshangaa jana maana magari ya Israel yalikuwa yakipeleka chakula,maji,madawa kwa wapalestina huku wakiwapiga.
 
S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,200
Points
1,250
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,200 1,250
Nimeambiwa hata babu mlima machungwa maeneo ya Jafa kulebisrael ana uwezo wa ku take cover na kutumia aina zote za bunduki. Tanzania tumefikia hapo?au tutafika lini?.
 
U

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Messages
2,508
Points
1,195
U

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2008
2,508 1,195
This is according to the report 'Global Militarization Index' issued on13/Nov/2012,by Bonn Internatoonal Centre for Conversion. Iran which is in tug of war with Israel is far in number 34. Syria is number 4,Jordan 5. MY TAKE: Iran,palestina,Egypt nk wana ubavu wa kumpiga huyu mtu?.
leta source. pia, i don't understand you when you say Jordan is Number 5, una maana ni namba five toka chini au toka juu....syria namba 4, toka juu au chini, umepima nini?
 
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Messages
1,961
Points
2,000
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2011
1,961 2,000
This is according to the report 'Global Militarization Index' issued on13/Nov/2012,by Bonn International Centre for Conversion. Iran which is in tug of war with Israel is far in number 34. Syria is number 4,Jordan 5. MY TAKE: Iran,palestina,Egypt nk wana ubavu wa kumpiga huyu mtu?.

Unadangwanya kitoto kweli Mr Swati....That is media war...Even you with little knowledge of creating blogs,websites and the alike you can POST anything you like and those narrow minded will follow you same as you have followed that bla bla....How can u compare IRAN with Syria or Jordan? How can u bliv that ISRAEL is No 1 in terms of military strength globally? History shows that Israel iliivamia na kuviaribu vinu vya IRAK in 1981 na Pia iliivamia SYRIA na kuviharibu vinu vyake 2007....Lakini imeshindwa kabisa kuivamia IRAN na kuomba msaada wa kimataifa...Na ikumbukwe IRAN ni hatari kwa Israel kwani msimamo wao nadhani unaujua tafauti na ilvyokua Irak na Syria....So mtoa mada usiamini kila kitu unachokuta kwenye internet kwani kila mtu anaweza post SAME AS MAJIBU YA KWENYE WIKIPEDIA KILA MTU ANAWEKA YAKE SO WAVIVU WA KUFIKIRI WANADHANI WAMEPATIA
 
M

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Messages
248
Points
0
M

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2009
248 0
Tanzania tunawahitaji Mayahudi zaidi ya Waarabu.
Waarabu wametupa nini zaidi?

Tangu tulipowakanya Majews,ndipo taiafa letu limekwenda chini zaidi na zaidi?
Mwarabu ametuachia ngono.angalia sehemu zote alizofikia mwarabu tanzania!
Utanipa jibu.

Civil engineers tuambieni projects za Mjew tanzania enzi hizo

Kumbuka google founders ni jews
facebook founder ni mjew
 
Moshe Dayan

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2008
Messages
809
Points
225
Moshe Dayan

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2008
809 225
kuna kitu kinaitwa "iron dome"..., ndo utajua hawa watu wako vizur..., kwa mtu yeyote wa air defence muulize how hard kutungua crude rocket from a crude launcher..., rocket ambalo linarushwa bila target, hawa jamaa wana system inashusha zile rocket
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,855
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,855 2,000
TAIFA eti LA MUNGU ISRAEL LINAONGOZA KWA KUUA,KUA NA JESHI,SILAHA IMARA!Hawamtegemei MUNGU muumba au maombi kujilinda
 
October

October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,146
Points
1,195
October

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,146 1,195
SI VYEMA KUSHABIKIA VITA, LAKINI NAWASIKITIKIA WANAWAKE NA WATOTO WA GAZA AMBAO MAISHA YAO YAMO HATARINI KUTEKETEZWA KWA SABABU YA UHUNI WA HAMAS. Hamas wangekua na huruma hata chembe wasingeanzisha ujinga wa kurusha maroketi Israel. Wangetakiwa kutambua kwamba Kumchokoza Israeli kutakua na madhara makubwa kwa raia wao. Sasa uchokozi wanauanza wenyewe halafu wanataka kuonewa huruma....
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,761
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,761 2,000
Unadangwanya kitoto kweli Mr Swati....That is media war...Even you with little knowledge of creating blogs,websites and the alike you can POST anything you like and those narrow minded will follow you same as you have followed that bla bla....How can u compare IRAN with Syria or Jordan? How can u bliv that ISRAEL is No 1 in terms of military strength globally? History shows that Israel iliivamia na kuviaribu vinu vya IRAK in 1981 na Pia iliivamia SYRIA na kuviharibu vinu vyake 2007....Lakini imeshindwa kabisa kuivamia IRAN na kuomba msaada wa kimataifa...Na ikumbukwe IRAN ni hatari kwa Israel kwani msimamo wao nadhani unaujua tafauti na ilvyokua Irak na Syria....So mtoa mada usiamini kila kitu unachokuta kwenye internet kwani kila mtu anaweza post SAME AS MAJIBU YA KWENYE WIKIPEDIA KILA MTU ANAWEKA YAKE SO WAVIVU WA KUFIKIRI WANADHANI WAMEPATIA
Namna hii ya maongezi nilikuwa nayo wakati nipo std 5. Manake hapo kwenye RED sijui una hakika gani kwamba wanayo nia ila hawana uwezo. Kwani Israel ina ugomvi na Iran?

Maswali yako yanapinga hoja za mwenzio as if wewe ndio umekuwa entitled kuleta majibu ya ukweli. Haya na mimi nakuuliza UNAWEZAJE KUAMINI ISRAEL HAIWEZI KUIVAMIA IRAN?

Punguza jazba, si wewe wala si yeye mwenye majibu ya uhakika. Na wewe pia umesikia ushabiki sehemu ndio umeuleta hapa kwa povu jingi kama mama chiku na sabuni yake ya family
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,761
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,761 2,000
Tanzania tunawahitaji Mayahudi zaidi ya Waarabu.
Waarabu wametupa nini zaidi?

Kumbuka google founders ni jews
facebook founder ni mjew
And JF Founder is proudly Tanzania.....tehe tehe tehe!!!

Makofi kwa Mkuu Maxence Melo!

Kama Mzalendo Net (ile ya matusi) ilianzishwa na Mwarabu, then we are all equal, tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
dubu

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Messages
3,245
Points
2,000
dubu

dubu

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2011
3,245 2,000
TAIFA eti LA MUNGU ISRAEL LINAONGOZA KWA KUUA,KUA NA JESHI,SILAHA IMARA!Hawamtegemei MUNGU muumba au maombi kujilinda
walipo anza kuua ndo mumegundua kuwa ni taifa la Mungu? kweli kila goti litapigwa na kila ulimi utakili Yesu ni bwana.
 
kamili

kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
889
Points
500
kamili

kamili

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
889 500
Usisahau walichokifanya Sudani juzijuzi, Binafsi naweza kuamini alichosema Swat. Kinachonishangazi ni kwamba Israel ndio taifa pekee duniani linalopata msaada wa kijeshi kwa maana ya technologia na vifaa kushinda nchi yoyote duniani, wana vifaa vya kila aina, kwa upande mwingine Palestina ndio nchi pekee ambayo hairuhusiwa kuwa na silaha isipokuwa bunduki chache za ulinzi wa ndani, na wakati mwingine nimewahi kuwaona wapalestina wakitumia mawe wakati wenzao Israel wakiwa na Bunduki za hali ya juu, vifaru, madege nk. Hata hivyo pamoja na maguvu hayo yaliyopitiliza kiwango bado Israel imeshidwa kuondoa kitisho cha wale inaowaita magaidi kwa miongo kadhaa. Tusisahau wakati mwingine ilibidi kutumia silaha za sumu ili kuwauwa wapelestina wasio na silaha. Israel ni sawa na jitu la miraba minne lenye kila aina ya silaha ambalo linapigana na mtu dhaifu tena aliyepewa sindano ya nusu kaputi na huku akiwa amefungwa pingu za mikono na miguu. Ni kweli Israel ina silaha nyingi na kali, lakini ni waoga kiasi wakiona hata jirani anajenga kiwanda cha dawa za binadamu anahisi kitisho na anaweza afanye mashambulizi kumbuka shambulizi la Sudani miaka 90. Ndio maana wanaweweseka baada ya kuona Iran wanatengeneza nishati ya nuklia. Mwalimu wangu aliwahi kuniambia mtu mwoga hatishwi aweza kukutupia chochote kilichokaribu nae shoka, nyundo, moto, jembe nk. Ni wazi Iran atashambuliwa na mataifa ya magharibi maana sidhani kama Israel wataacha kuweweseka na kulialia na kuomba msaada. Iran haijawahi kuweweseka na maguvu aliyonayo Israel, na hata sasa pamoja na kitisho kinachowakabili sijaona Iran ikiweweseka.
Unadangwanya kitoto kweli Mr Swati....That is media war...Even you with little knowledge of creating blogs,websites and the alike you can POST anything you like and those narrow minded will follow you same as you have followed that bla bla....How can u compare IRAN with Syria or Jordan? How can u bliv that ISRAEL is No 1 in terms of military strength globally? History shows that Israel iliivamia na kuviaribu vinu vya IRAK in 1981 na Pia iliivamia SYRIA na kuviharibu vinu vyake 2007....Lakini imeshindwa kabisa kuivamia IRAN na kuomba msaada wa kimataifa...Na ikumbukwe IRAN ni hatari kwa Israel kwani msimamo wao nadhani unaujua tafauti na ilvyokua Irak na Syria....So mtoa mada usiamini kila kitu unachokuta kwenye internet kwani kila mtu anaweza post SAME AS MAJIBU YA KWENYE WIKIPEDIA KILA MTU ANAWEKA YAKE SO WAVIVU WA KUFIKIRI WANADHANI WAMEPATIA
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,505
Points
1,250
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,505 1,250
kuna kitu kinaitwa "iron dome"..., ndo utajua hawa watu wako vizur..., kwa mtu yeyote wa air defence muulize how hard kutungua crude rocket from a crude launcher..., rocket ambalo linarushwa bila target, hawa jamaa wana system inashusha zile rocket
Technology ya Iron dome wamepewa na Marekani.
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,995
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,995 2,000
Jasusi huo ni uongo IRON DOME imetengenezwa ISRAEL na kampuni iitwayo RAFAEL inadeal na missile defence system.

One missile inagharimu $40000-$50000
Hii inatumika kuintercept Missiles ambazo zinarushwa kuelekea population places.
Marekani yeye ametoa hela $200 mil baada ya hii system kuanzishwa.
Imeanza tumika kuanzia mwaka jana march
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,294,401
Members 497,915
Posts 31,174,804
Top