Recent content by MWANAMALEMBE

  1. M

    Gwajima kiboko, waumini wake wavamia Kibamba na fuso zaidi ya 20 wakigawa vipeperushi vya mkutano

    Natamani kuwa kama Gwajima... tajiri na mwenye kujiamini zaidi ya Mungu.
  2. M

    Yu Wapi Askari Mkama Sharp?

    Mkama sharp alifia jela kimya kimya alipewaga kesi ya rushwa Kariakoo.
  3. M

    Yesu Kristo aliuawa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko za kidini

    Safi sana ndugu... inaonekana ni kweli Yesu aliuliwa kwasababu za kisiasa zaidi,kuliko kidini kama tulivyolishwa tango pori... kwasababu hata mie hua najiulizaga iweje israel iwe na wakristo wachache zaidii kuliko Mbeya?
  4. M

    Atheism: Imani nusu na robo

    Mshana naomba ututake radhi aisee... Sisi hatuamini kwamba Mungu yupo, si kwasababu haonekani... bali kuna sababu zaidi ya 100.
  5. M

    Atheism: Imani nusu na robo

    ALBADIR ndiyo ilinifanya nianze kuchunguza mambo ya dini, maana ilikua inanipa ukakasi kidogo... iweje MUNGU huyu huyu mwenye upendo kwa watu wake,aweze kuwadhuru vibaya waliokuwemo na mpaka wasiokuwepo kwasababu tuu kuna mtu aliibiwa mbuzi zake huku wengine walikula nyama yake kwenye sherehe...
  6. M

    Atheism: Imani nusu na robo

    Mimi ni mmojawapo wa wale tusioamini uwepo wa Mungu' ila nilikulia kwenye imani ya kikristo tena wale walokole wa kunena kwa lugha... baada ya kufika umri wa kujitambua,nikajikuta napenda tuu kuchunguza kila kitu kinachohusu dini... hiyo ikanifanya niufuatilie kwa karibu sana uislamu. Kiukweli...
  7. M

    Atheism: Imani nusu na robo

    GRAPH wewe ni Ze akili Kubwaz
  8. M

    Yesu Kristo aliuawa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko za kidini

    Heshima kwako mleta uzi,mie nafarijika sana kwenye maisha yangu ninapokutana na "Great thinker" kama wewe... hakika umeni boost ubongo wangu! mie niruhusu nikuite BUDDHA.
  9. M

    Atheism: Imani nusu na robo

    BUDDHA ndio wenye kukupa mwanga mzuri.. juu ya huu mjadala.
  10. M

    Madaktari kufanya Operesheni ya kumkata mtu kichwa na kumuwekea mwili mwingine

    Sasa nimeamini ama kweli wazungu ni ndugu zake na Mungu.
  11. M

    Itungwe sheria ya kusapoti polisi kwa lazima

    Nimekumbuka ule wimbo "Idd Amin akifa mimi siwezi kuliaa, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba".
  12. M

    Muonekano wa Shule ya Msingi Mlimani, Kuanza kufundisha Kichina darasa la kwanza 2017

    Bora walete tamaduni zao na imani ya kibuddha maana waafrika tulishapotea kwa kuamini Mungu ni mwarabu.
  13. M

    Itungwe sheria ya kusapoti polisi kwa lazima

    Tukianza kushangilia polisi tusisahau na kumpa Tuzo yule aliyemuua mwandishi Mwangosi.
  14. M

    Yutong/zongtong/Higer and scania buses

    Inategemea na dereva, aina ya gari wala si tatizo. Yutong naziaminia sana... ni nyepesi na ziko faster kama coaster!
  15. M

    Tunaomba tujue nature ya jeraha la risasi la Askari aliyeuawa Vikindu

    Hili tukio sio rahisi kuamini kwamba polisi wanaweza kulitengeneza kama wengi wetu tunavyodhani... kurushiana risasi na mabomu ya machozi kwenye makazi ya watu, ni zaidi ya kuchezea shilingi chooni. Ni kweli mapambano na jambazi yalikuwapo, ila kuna sintofahamu kubwa sana juu ya mwendelezo wa...
Back
Top Bottom