Recent content by Mwanakwaya

  1. M

    Wenye Magari Mnayajua haya? Zingatia hasa wakati huu wa safari za Likizo!!

    Ahsante sana mkuu. Nitawatembelea hivi karibuni.
  2. M

    Wenye Magari Mnayajua haya? Zingatia hasa wakati huu wa safari za Likizo!!

    Mkuu, ahsante kwa maelezo. Hiyo oil ya Zinol naweza kuitumia kwa Rav 4 ya mwaka 2003? Lita 5 bei gani?
  3. M

    Hii ndio mikosi ya safari ya mwanza leo

    Poleni sana na masaibu hayo ya safari. Inshallah mtafika salama salmini.
  4. M

    Another huge burst of gas discovered

    Mkuu, maneno kuntu hayo.
  5. M

    Wife kaniroga naogopa kumwambia.

    Mke mshirikina + mume mzinzi = makao makuu ya shetani! Unaogopa kumwambia kwa kuwa mikono yako michafu. Huwezi kutaka haki wakati hutendi haki. Nyote mtubu ili msonge mbele.
  6. M

    Waziri wa fedha Mahututi

    Mbunge wako? Sikujua ubunge wake unavuka mipaka mpaka huko kwa David Cameroon! Namtakia nafuu kamilifu na ya mapema Dr. Mgimwa.
  7. M

    Hii Nayo Vipi?

    Mmmhhh! Kama ni kweli hao wamezidi sasa. Ubaguzi wa aina yoyote ni wa kulaaniwa. Nilishangaa sana nilipoenda Saudi Arabia sikuona kanisa hata moja. Niliambiwa Wakristo wanasali sehemu flani flani kwa siri. Sijui huko Iran, Kuwait, Qatar, Bahrain, Afghanistan, Iraq nk Wakristo wana uhuru kiasi...
  8. M

    kwetu pazuuuuri nimeshapakumbuuuuka:::::muda wa sensa ndo unakaribia hivo

    Wari mchaaa! Mabastola yetu viunoni na jaribu kutuchezea utatutambua!
  9. M

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Mkuu umenena vyema. Tujikite kwenye hoja ya msingi tuache kumjadili Msando binafsi. Hicho kifungu alichonukuu mleta hoja hakimvui ZZK wadhifa wa Naibu Katibu Mkuu. Kama kipo kifungu husika kiletwe hapa. Katiba iheshimiwe.
  10. M

    CCM Ukoo wa Panya: Ufisadi Unaotisha Ndani ya TANESCO...!

    Ni kweli kunahitajika weledi wa sekta husika ili kuteuliwa kwenye Bodi. Nafikiri ingekuwa vyema nafasi zingetangazwa na watu waombe, wachujwe, wasailiwe na wenye kushinda wapewe nafasi. Sahihisho kidogo. Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco huteuliwa na Rais. Waziri ana mamlaka ya kuwateua wajumbe tu.
  11. M

    Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    Unamkumbuka Horace Kolimba?
  12. M

    Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

    Japo inaonekana ni mapema mno kwao kuitisha mkutano wa waandishi wa habari lakini inawezekana kabisa kesho Zitto na Dr. Kitilla watawawahi Chadema kwa kutangaza kujitoa Chadema kabla ya zile siku 14 walizopewa.
  13. M

    Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

    zemarcopolo...unapoteza muda mwingi sana kuijadili Chadema badala ya mambo ya msingi kwa Taifa letu fukara. Don't stoop that low brother. Tuna upungufu mkubwa sana wa madaktari nchini na unajua. Rudi tusaidiane kurudisha japo kidogo kwa Watanzania waliojitolea jasho na damu ili sisi tusome...
  14. M

    JK awasili Poland leo

    Warsaw climate talks: nearly 3 in 10 countries not sending ministers "...This year, two prime ministers and two presidents will be attending the conference, each hailing from some of the most vulnerable countries to climate change, including the Pacific islands of Tuvalu and Nauru, along with...
  15. M

    Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

    Taarifa mheshimiwa. Lowassa hana hisa Vodacom.
Back
Top Bottom