Recent content by Mwanakanenge

  1. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanaume hukataa kutoa talaka?

    Chanzo cha mgogoro huu ni upande wa mke, kumuunga mkono mtoto wenu badala ya kuwa sehemu ya usululishi,kwa hakika huyo binti yenu atapewa taraka.Mwisho kumetokea utamaduni hasa wazazi ,ndugu jamaa wa upande wa mke kushindwa kuwaonya watoto wao panapotokea migogoro katika ndoa zao hasa binti...
  2. Mwanakanenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi ni ngumu kumpata umtakaye.

    Na mbaya zaidi pale usipopapenda ndiyo unapendwa,na unapopapendwa hupendwi!
  3. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania "Fyeka Burundi, tusonge mbele" kuna la ziada juu ya kauli hii

    Mpira hauhitaji maneno mengi,mpira unachezwa hadharani,ukiujua unaujua tu sio ugenini wala nyumbani na mwisho unahitaji mipango na mikakati katika kufanikiwa
  4. Mwanakanenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhali kama mkeo kafata mzigo wa biashara Dar

    Ni mtihani mkubwa sana huu,wanashindwa kutumia Uhuru wa kufanya biashara vizuri,kwa kifupi inaumiza na kukatisha tamaa
  5. Mwanakanenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Unakiili sana mdogo wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Lukiza kinyondo (sharubu) Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Je, watanzania hatuwezi kuwa na passport bila kuwa na invitation letter?

    Mkuu umerudi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Bisha usibishe ndo hivo

  9. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Mh Aveva na Kaburu wanasubiri nini kujiuzulu??

    Utamaduni wa kujihudhuru kwa viongozi Tanzania haupo
  10. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mtaji wa kuanzia katika forex kwa kiwango cha chini kama kiasi gani?
  11. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Shukrani
  12. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Nyota wa Serengeti boys apimwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Mchezaji huyo jana alifanyiwa baada ya mechi je kuna mdau amepata majibu ya vipimo hivyo?
  13. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    je kusafisha nyota ni lazima upewe na pete ya kuvaa?
  14. Mwanakanenge

    JamiiForums Tanzania Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

    Habari wanajukwaa, Kutokana na hali ya upatikanaji wa sukari kuwa mgumu,si vibaya tukajua bei ya sukari kwa kilo ni kiasi gani kwa eneo la kila mwana jamii forum alipo.
Back
Top Bottom