Kwenye mapenzi ni ngumu kumpata umtakaye.

Kwenye mapenzi ni ngumu kumpata umtakaye.

Haya mambo yanachanganya na kuchosha sana. ninae mmoja tuna mwaka sasa na anajua kabisa lengo langu ni kufunga nae ndoa next year ila nalazomika kumuacha na kuanza upya kutafuta mchumba kwa sababu tu hataki kabisa niguse simu yake ingawa simu zangu yuko huru nazo na ameridhika kabisa tuachane. Najutia muda wangu aisee
Kama mbali kabisa na hicho kiberenge....

Usiendelee kupoteza muda na mwanamke wa aina hiyo, utakuja kujutia muda wako
 
Usiyempenda afu yeye anakupenda, huyo ndiyo chaguo lako sahihi
 
Back
Top Bottom