Recent content by mwanairinga

  1. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Zaidi ya kutisha mkuu
  2. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Fb siyo kuzuri mkuu!!!!
  3. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Ndio maana ake
  4. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Wee fanya mpango dau lipo
  5. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Hakuna noma mkuu
  6. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha Vigezo Awe mweusi na mnene wastani Awe mrefu wastani Awe mkristo Awe ameajiriwa au anafanya kazi hususani mwalimu Awe tayari kupima...
  7. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume naishi dar nimeajiriwa na taasisi ndogo ya fedha dar,natafuta mchumba ambaye yupo serious mwenye vigezo vifutavyo 1.awe mkisto 2.awe mrefu wastani na mnene wa kati rangi mweusi 3.awe tayari kwenda kupima HIV
  8. mwanairinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka EPS Kwenye gari

    Mkuu na mimi gar yangu inatitizo hilo hilo kunakamtu alafu na puto usobi,then honi hailii ukipiga!
  9. mwanairinga

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua

    Mbona cm hupokei mkuu
  10. mwanairinga

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua

    Na hiyo ni note au ?
  11. mwanairinga

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua

    Habari wana jf,Natafuta gari aina ya Nissani note iwe no C au D pia iwe inatumia petroli/gasoline iciwe inadaiwa vibali wala kugongwa au kupakwa rangi.
  12. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume nipo dar natafuta mchumba ,ninakipato cha wastani mengi zaidi tutaongea private kwa aliye tayali karibu pm
  13. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania No money no honey, no honey no money

  14. mwanairinga

    JamiiForums Tanzania Duni Haji: Ndani ya CHADEMA kila mtu ni Kambale

    Kutekeleza matakwa ya katiba kuwa mgombea mwenza lazima atoke chama kimoja ,Lowassa alivokosa urais Duni tabidi arudi CUF sasa chakushangaza ni nini labda !!!!
  15. mwanairinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

    Ni pm nikupe ushauri dada yangu achana na hao watu wanaokukejeli
Back
Top Bottom