mwanairinga
Senior Member
- Dec 21, 2015
- 179
- 12
Habari wana jf,Natafuta gari aina ya Nissani note iwe no C au D pia iwe inatumia petroli/gasoline iciwe inadaiwa vibali wala kugongwa au kupakwa rangi.
Ninayo cube 3
Nicheck apa 0678224427 ninayo no D